Nimeibiwa simu na mwizi ametoa pesa tiGO Pesa!

Huyu mwizi kapata wapi NIDA yangu?
Ukiwa na namba ya simu wale mawakala wa kusajili laini wanaweza kukutajia namba ya nida. Yani kimantiki wewe ulichelewa kuchukua maamuzi ya kulinda laini baada ya kuibiwa. Bila shaka hapo baada ya kuiba mwizi alitaguta wakala akapata namba ya nida na detail zako kisha akafanya process ya kutengeneza password mpya na kutoa hela baadae. Scenario kama hii ni rahisi kufanikiwa
 
Hivi ule usajili wa alama za vidole wa line za sim haikusaidia

Ova
 
Nimeona koment nyingi sana humu kuwalaumu tigo saiv attacker ni wengi mno wana tumia tool za cybersecurity ku generate password na akifungua simu yako anaanza kutest kuanzia email nk akifanikiwa kuona zimekubal ujue umekwisha..
Watu wengi hufanya password za mfanono sana ko mtu ambae ana utaalamu mkubwa ni rahis sana kutumia software mbali mbali kutest na kupata nywira zako

makosa yapo kwako ungetoa taarifa mapema now day dunia ipo kweny technology ukichangany umekwisha kaka..

Pole kwanza piga moyo konde jipange upya
 
Nimeibiwa simu yenye line ya Tigo na nilipoenda kuchukua line mpya naangia salio la pesa nakuta hakuna kitu! Kwenye statement inaonekana mwizi ametoa pesa mara tatu. Hii inawezekana vipi mtu hajui password yangu atoe pesa??
Mmeshaonywa hamsikii, Hv mnang'ang'ania nini? Hadi mtoke damu ndo mtajua hamtakiwi kutumia hilo li kitu?
 
Nimeona koment nyingi sana humu kuwalaumu tigo saiv attacker ni wengi mno wana tumia tool za cybersecurity ku generate password na akifungua simu yako anaanza kutest kuanzia email nk akifanikiwa kuona zimekubal ujue umekwisha..
Watu wengi hufanya password za mfanono sana ko mtu ambae ana utaalamu mkubwa ni rahis sana kutumia software mbali mbali kutest na kupata nywira zako

makosa yapo kwako ungetoa taarifa mapema now day dunia ipo kweny technology ukichangany umekwisha kaka..

Pole kwanza piga moyo konde jipange upya
Amgetoa taarifa mapema wapi
 
mtu akishajua nida no yako tu zmekwishwaaa,,,,ipo hivi hao majambazi wanakuwa lao moja na hawa wanaosajili line...hatua ya kwanza wanayofanya hao majambazi ni kucheck nida no yako kwa kupitia no zako za simu hii huduma wanayo mawakala wote wanaosajili line mtaani...wakishaijua nida no yako wanainote pembeni...hiyo nida no yako ina kila kitu chako ambapo ni tarehe ya kuzaliwa mwezi na mwaka na itakuja na majina yako yote matatu...hatua inayofuatia ni wanapiga customercare ambapo atajitambulisha kama mhusika wa line na amesahau no ya siri....customercare watamwuliza majina matatu na tarehe aliyozaliwa atajibu so coz tayari anavyo kupitia nida no yako....wanaweza muuliza balance na akasema hakumbuki ...ila watamfungulia kwa kumsetia defult jambazi ataingiza pin mpya anazozijua yy.pia wengine wana acces toka jikoni ni mwendo wa dk sifuri tu
 
Nida inapatikana hata mtandaoni
 
Huyo mwizi ana connection na watu wa kwenye mitandao na ndiyo wamempa pwd akatoa pesa...si rahisi hata ukiweka mwaka wa kuzaliwa mtu aguess mara tatu ikubali ,inayoweza kuguess pssword ni BOT tu linaweza likatuma request hata 1000 in few seconds.
hata watu wa mtandao hawana password yako mkuu
 
Nimeibiwa simu yenye line ya Tigo na nilipoenda kuchukua line mpya naangia salio la pesa nakuta hakuna kitu! Kwenye statement inaonekana mwizi ametoa pesa mara tatu. Hii inawezekana vipi mtu hajui password yangu atoe pesa??
Hakukuwa na picha ya kitambulisho cha taifa au namba za NIDA kwenye hiyo simu?
 
Nimeibiwa simu yenye line ya Tigo na nilipoenda kuchukua line mpya naangia salio la pesa nakuta hakuna kitu! Kwenye statement inaonekana mwizi ametoa pesa mara tatu. Hii inawezekana vipi mtu hajui password yangu atoe pesa??
Naijuahioopolesana
 
Kiufupi wana watyuwaoo kwenyee makampuni ya simu....ndio maana ukiibiwa kama jamaa yuko ofisn akipigiwa anatoa ushirikiano mzuri mzigo unatoka
Soln
Usiibjwe
 
Nimeona koment nyingi sana humu kuwalaumu tigo saiv attacker ni wengi mno wana tumia tool za cybersecurity ku generate password na akifungua simu yako anaanza kutest kuanzia email nk akifanikiwa kuona zimekubal ujue umekwisha..
Watu wengi hufanya password za mfanono sana ko mtu ambae ana utaalamu mkubwa ni rahis sana kutumia software mbali mbali kutest na kupata nywira zako

makosa yapo kwako ungetoa taarifa mapema now day dunia ipo kweny technology ukichangany umekwisha kaka..

Pole kwanza piga moyo konde jipange upya
Acha ujuaji mimi naweza pia kutoa pesa kwenye line yako ukinikabidhi sasa hivi. Tena tigo ni kama kumsukuma mlevi
 
Funguka vizuri kuna kitu haueleweki, aliwezaje hata kuingia kwenye simu, huna pattern au PIN.
 
Back
Top Bottom