Nimeishi na Watanzania kwa muda mrefu nimegundua idadi kubwa ina tatizo la (non sequitur), tatizo la kutoa majibu yasiyoendana na maswali yaliyoulizwa

Nimeishi na Watanzania kwa muda mrefu nimegundua idadi kubwa ina tatizo la (non sequitur), tatizo la kutoa majibu yasiyoendana na maswali yaliyoulizwa

Mr Why

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
2,235
Reaction score
4,252
Nimeishi na Watanzania kwa muda mrefu nimegundua idadi kubwa ina tatizo la (non sequitur), tatizo la kutoa majibu yasiyoendana na maswali yaliyoulizwa

Hili tatizo linawasumbua sana Watanzania wenzangu inawezekana hawajafundishwa shuleni namna ya kujibu maswali kama sivyo wamejawa na dhihaka

Hili tatizo linasumbua sana hasa kwenye kuchangia hoja au kujibu maswali

Mfano mtu anaweza kuuliza hivi??

Ni nani msanii bora wa muziki Tanzania?

(Non sequitur)
1: Mziki wa Tanzania hauleweki
2: Hivi Tanzania kuna wasanii?
3: Wasanii wenyewe wako wapi

(Correct answers)
1: Nadhani Diamond Platnumz
2: Binafsi nadhani ni Alikiba

Hata katika jamii zetu hili tatizo linasumbua sana
Madhara yake makubwa ni watu kutokupata majibu ya maswali yao

Mimi Mr Why ni mpenzi wa mitandao ya kijamii huwa kichwa kinaniuma sana pale naposoma nyuzi za maswali yaliyoulizwa na wadau lakini hakuna jibu hata moja alilojibiwa zaidi ya majibu yasiyoendana na maswali

Ndani ya jamii mtu anaweza kuuliza Simba au Yanga wanacheza lini?

Non sequitur
1: Simba au Yanga wamechoka msimu huu
2: Watachezaje na hawana lolote
3: Mpira wa siku hizi hamna kitu

Sahihi
1: Wanacheza kesho
2: Watacheza tarehe 5
3: Tarehe tano saa tisa

Niliacha kabisa kutumia Facebook kwasababu ya dhihaka zilizoshamiri katika mtandao huo hakuna ninachojifunza zaidi ya kuumiza macho yangu kwa mwanga wa Device

Kwahiyo nitatizo kubwa sana linalotusumbua Watanzania

Njia ya kufanya nikujibu swali moja kwa moja

Mfano wa swali

Nitapata wapi bidhaa kwa bei nzuri?

Jibu

1: Kariakoo
2: China, nakadhalika

Badala ya hizo bidhaa unapeleka wapi? au biashara utaiweza? Biashara ya sasa hivi haitoki, una mtaji au unauliza tu bei?
 
Njia ya kufanya nikujibu saali moja kwa moja

Mfano wa swali
Nitapata wapi bidhaa kwa bei nzuri?

Jibu
Kariakoo
China nakadhalika

Badala ya hizo bidhaa unapeleka wapi au biashara utaiweza
 
Maswali ya kipumbavu huzaa majibu ya kipumbavu.!!
 
Swali: Vipi habari za hapo nyumbani?

Jibu: Za hapa NZURI KABISA wote HATUJAMBO.

Japo baba anaumwa umwa tumempeleka hospitali jana amelazwa, mama nae ile miguu bado inamsumbua na broo si ulisikia alipata ajali? Yupo yupo wamempa magongo ule mguu bado hajaweza kuukanyagia. 🤔
 
Nakuunga mkono asimilia mia moja, nimeobserve saana hili swala, na huwa mtu akinijibu huwa namuuliza unadhani umejibu ulichoulizwa?
 
Kisomo cha Watanganyika ni goigoi.

Wengi wao ni oya oya tu. Shule haipo kichwani.
 
Nakuunga mkono asimilia mia moja, nimeobserve saana hili swala, na huwa mtu akinijibu huwa namuuliza unadhani umejibu ulichoulizwa?
Mara nyingi majibu tofauti yanakinzana na ubongo, unaweza kuumwa kichwa
 
Nimeishi na Watanzania kwa muda mrefu nimegundua idadi kubwa ina tatizo la (non sequitur), tatizo la kutoa majibu yasiyoendana na maswali yaliyoulizwa

Hili tatizo linawasumbua sana Watanzania wenzangu inawezekana hawajofundishwa shuleni namna ya kujibu maswali kama sivyo wamejawa na dhihaka

Hili tatizo linasumbua sana hasa kwenye kuchangia hoja au kujibu maswali

Mfano mtu anaweza kuuliza hivi??

Ni nani msanii bora wa muziki Tanzania?

(Non sequitur)
1: Mziki wa Tanzania hauleweki
2: Hivi Tanzania kuna wasanii?
3: Wasanii wenyewe wako wapi

(Correct answers)
1: Nadhani Diamond Platnumz
2: Binafsi nadhani ni Alikiba

Hata katika jamii zetu hili tatizo linasumbua sana
Madhara yake makubwa ni watu kutokupata majibu ya maswali yao

Mimi Mr Why ni mpenzi wa mitandao ya kijamii huwa kichwa kinaniuma sana pale naposoma nyuzi za maswali yaliyoulizwa na wadau lakini hakuna jibu hata moja alilojibiwa zaidi ya majibu yasiyoendana na maswali

Ndani ya jamii mtu anaweza kuuliza Simba au Yanga wanacheza lini?

Non sequitur
1: Simba au Yanga wamechoka
2: Watachezaje na hawana lolote
3: Mpira wa siku hizi hamna kitu

Sahihi
1:Wanacheza kesho
2: Watacheza tarehe 5
3: Tarehe tano saa tisa

Niliacha kabisa kutumia Facebook kwasababu ya dhihaka zilizoshamiri katika mtandao huo hakuna ninachojifunza zaidi ya kuumiza macho yangu kwa mwanga wa Device

Kwahiyo nitatizo kubwa sana linalotusumbua Watanzania
Naam. Umesema 100% correct.
Watz tuseme ni wote tu, ukiuliza swali utajibiwa kwa swali i.e. waTz wanatoa evasive answers. Hawezi kukujibu moja kwa moja.
Kwa mfano:
1, Samahani ; hapa ni nyumbani kwa Bw. Omari Kitufe?
Unaweza kujibiwa hv: Omari kaenda shambani
Jawabu sahihi : Ndiyo; Hapan au Sijui.
2. Aisee, Nimesikia Halmashauri wametangaza nafasi za ajira, ni kweli?
Majibu: Hao wahuni sana; ukiona wanatangaza hivo ujue nafasi zote zimeshajazwa na ndugu zao. Hapo wanajikosha tu.
Jawabu sahihi: Sio kweli au Ni kweli.
 
💯
 
Kwenda zako huko, hiyo sio shida ya watanzania tu bali ni suala mtambuka la binadamu wote

Kuna sheria maalum za arguing ambazo unatakiwa ujifunze

Hizo sheria ziliwekwa ili kudhibiti hayo mambo ya sequitir yanayotokana na hisia
 
Back
Top Bottom