Nimejaribu Leo kwa Mara ya Kwanza. Hii Kitu (Pichani) ni Tamu Aisee Asikwambie Mtu!

sawa. ww ni kaka yangu.
Au pia hata kukuita hivyo sio sawa pia.

Inashangaza unafuga nguruwe na wakat ww ni Muslam.
Na ndio Maana hata kuwala hujawah pia na ndio maana hujui taste yake.
Sijawahi kuwa mwislamu , nguruwe hata juzi nimekula hana maajabu, mpaka nguruwe pori miaka ya 2000 huko arusha tumewinda sna
 
Sasa utajuaje km siku hiyo wamechoma ya binadamu? Nayo si mapumbu? 😹😹😹

Yale ni makubwa Shem. Tofaut na hayo unayoyaonaga.

Ushawah ona pumbu za nguruwe wewe?
Lile Bao moja lake ni zito na linatoa watoto 9-12.

Achana na hizo pumbu ambazo hata bao likitoka na ukisimama hazichuruziki kwenye mapaja na kufika magotini.
 
Nikija moshi unitafute nikutafutie nguruwe mmoja wa kienyeji bandani ambae ajakomaa uchome , bwashee .

Mm niko Goba.
Nimezaliwa dar na kukulia dar.

Ila Moshi ni kwa Bibi na Babu .
nina nyumba ya urithi pale KDC opposite na Ikulu ya moshi.

Ni mwendo wa dk 2 tu kutoka lami na kwenda nyumban. Na ndio nitakapozikwa . Mungu akijalia.

Mwez Dec Mungu akijalia nitakuchek kama utakuwa Moshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…