Nimejaribu Leo kwa Mara ya Kwanza. Hii Kitu (Pichani) ni Tamu Aisee Asikwambie Mtu!

Safi mkuu uje tuchome nguruwe, japo binafsi navutiwa na nyama zote zinazoliwa ila nguruwe wa mwisho
 
Yale ni makubwa Shem. Tofaut na hayo unayoyaonaga.

Ushawah ona pumbu za nguruwe wewe?
Lile Bao moja lake ni zito na linatoa watoto 9-12.

Achana na hizo pumbu ambazo hata bao likitoka na ukisimama hazichuruziki kwenye mapaja na kufika magotini.
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Mwehu we..!!
Nimecheka mpk machozi ๐Ÿ˜น

Kwahiyo hizo ndo zinaitwa pumbu mzigo? ๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ