Nimejikuta nakuwa baba wa watoto wengi bila kutarajia

Wanaume wengi hawapendi watoto ila wanakubali kwa sababu jamii itawachukuliaje kuwa na mke then huna mtoto....Kuna muda mwanamke kama kweli waipenda ndoa yako msikilize mume kuhusu idadi ya watoto atakayo....unategesha unanasa then ndiyo haya sasa analalamika.Hatujifunzi tu kwanini wanaume wengi wanakimbia watoto au mimba na kujaza singlemoms kitaa.
 
We ni mwanaume kweli? Una mpa mke onyo kuhusu ubebaji mimba? Kwani analalwa na ani kupata mimba? Wewe si ndo wa kuonywa?
Mimi kutokulala nae sio kigezo cha kutokupata mimba pia kwa mimi naona jukumu lipo kwa mwanamke ndio wanaoweza kuzuia au kubeba
 
Haujaelezea ongezeko la mtoto mmoja litakavyokufanya masikini zaidi.

Badala ya kuwatelekeza, tafuta fedha halali kwa bidii zaidi.

NB: Usiue kiumbe kisichokuwa na hatia.
Sitaki kuua kiumbe chochote pia hali ya uchumi mm ndio naijua wengi hamuijui pia malengo niliyopanga mungu anabariki pia nimetengeneza mfumo wa kupunguza njia za hela kutoka na kuongeza njia ya kuingia sasa naona njia ya kutokea inakua kubwa kuliko kuingia
 
Wote wa 4 muishi kwenye bajeti ya wa3, Solved ✔️ inaitwa adjustment.

Unazungumzia kutelekeza kirahisi hivyo, kwamba utawatelekeza baada ya muda utawarudia nao watakuwa na furaha? Na huyo mtoto mmoja naye utamtelekeza amekosea nini?
Keyword ADJUSTMENT,hapo umefunga kikubwa sana. Watu 4 kuishi kwa budget ya watu 3 ni kitu raising sana,you won't even feel the pinch.
 
Mfungie bandani kwa muda mrefu, atapata stress na kuwa frustrated 😣 Muda wa kufungiwa uwe mrefu kuliko muda wa kuzurura

Sijui kama ni njia inayofanya kazi permanently, expart wa dog watakushauri vizuri .
 
Keyword ADJUSTMENT,hapo umefunga kikubwa sana. Watu 4 kuishi kwa budget ya watu 3 ni kitu raising sana,you won't even feel the pinch.
Asante.
lakini wasiwasi wangu ikiwa mtu mzima aliyefikia umri wa kutengeneza familia halijui hili… zaidi zaidi ameongelea kutelekeza mara 2.

We huogopi?
 
Wakati mwingine kichwa kisicho na mawazo chanya ni kifuniko Cha shiñgo
 
Ila wewe jamaa ni mjinga sana, hiyo mimba mkeo alijipachika??
Kwann hukutafuta huo utajiri kabla ya kuoa?
Tulia ulee familia yako hatutaki kubebewa wanaume zetu na huyo single maza unayemtengeneza... 😹
 
Acha utoto bhasi ndugu yangu, hiyo mimba alijipa mwenyewe?

Akili ya mwanadamu imeumbwa kubadilika kutokana na mazingira. Ukiona wewe mtoto moja tu kuongezeka umebaki na akili mgando, huwezi ku adjust, basi jua hata hayo mafanikio utayafukuzia mpaka unaingia kaburini na hutoyapata.
 
Wakati ukimwagia shahawa uume uliwaza yote hayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…