Nimejikuta nakuwa baba wa watoto wengi bila kutarajia

Sina mbavu kabisa kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Be a gentleman watoto wawili malalamiko kibao.

Kua MWANAUME at least zalisha hata watoto wa 5

Ukoo wetu tupo wachache Sana yaan ukoo wetu tusipo pambana kuzaa hapo mbeleni unaweza ukapotea☺️😊
 
Ukitaka kutimiza malengo yako inabidi uwe na ubinafsi na umimi epuka kuoa mapema.

Mkewangu alikua na kazi yake na malengo makubwa makubwa nilimwambia dunia yake itabadilika atakapo kua na mtoto

Very true kulea mtoto huchukua muda mrefu Sasa mpaka five years ni kuji sacrifice kuacha kila kitu kwa akili ya mtu mwingine Tena since day one.
 
Maisha huwa yana ji-sort. Huna haja ya kuogopa kupata watoto, huna haja ya kumkasirikia mke wako kwa kubeba mimba. Huna haja ya kuchukia kupa mtoto. Furahia kuwa mungu anataka kuwapa mtoto mwingine.

Hiyo mipango yako ni pamoja na kuzaa na kulewa watoto.

Ungekuwa karibu ningekutia makwenzi mpumbavu mmoja wewe.
 
Hongera sana mkuu! Maana si kazi ndogo.
 
Safi sana
 
Wote wa 4 muishi kwenye bajeti ya wa3, Solved ✔️ inaitwa adjustment.

Unazungumzia kutelekeza kirahisi hivyo, kwamba utawatelekeza baada ya muda utawarudia nao watakuwa na furaha? Na huyo mtoto mmoja naye utamtelekeza amekosea nini?
Wakati mwingine unaweza kuwa abandoned let say sehemu salama mfano nyumbani kwa wazazi Kama wananafasi na ukaenda kupambana mambo uakitik unawachikua.

"Flying love is an imagination love"
 
Wakati mwingine unaweza kuwa abandoned let say sehemu salama mfano nyumbani kwa wazazi Kama wananafasi na ukaenda kupambana mambo uakitik unawachikua.

"Flying love is an imagination love"
Mna normalize absence ya wazazi kwenye maisha ya watoto wao why? Kuna tatizo gani mzazi akiishi na watoto wake akapambana nao? Hivi unajua kuwa duniani hapa people of color ndio tunaongoza kwa absence katika malezi? either mzazi mmoja au wazazi wote watoto hulelewa na bibi na babuz?

No wonder tuna jamii ya watu ambao hawana upendo/wabaridi sababu they never felt loved in their childhood.

Wazazi mngejua mnatutengenezea future individuals wa aina gani mngeacha kut*mb*n*

Msiwe mnaangalia kukuza tu watoto kwamba wana miaka miwili , then mi4 then 12 then 18….. Ulishawahi kujiuliza kwanini vitoto vidogo vya miaka 20s vinasumbuliwa na depression? vinatamani kufa kufa , Vingine visaikopathi? vinatamani kuua ua na vina hate kali?

Anyways… naongelea mental well being kwenye ulimwengu wa tatu ambao tatizo lao la msingi ni njaa!!!
 
Swala la kuzaa linaendana na malezi, mkisikilizana itakuwa vizuri, kuzaa watoto wengi na penyewe siyo sifa .
 
Swala la kuzaa linaendana na malezi, mkisikilizana itakuwa vizuri, kuzaa watoto wengi na penyewe siyo sifa .
Kabisa,kwanza hatujakuja duniani kujitesa na kutesa watoto
 
rahaa kufanya mapenzi tuuuuu kulea aaaha..!
 
Sawa.
 
Sijioni nikiweza kuishi bila huyu mbwa nyumbani ,kuhusu wadogo natamani kuwatafuta ijapokuwa sijui nifanye nini wawe wakali ,maana toka nimewajua mbwa na kuwafuga ni mbwa mmoja tu ndiye alikuwa mkali Sana kiasi Cha kujihisi Sasa ninaye mbwa .
Itoshe kusema inauma ukiwa na mnyama Fulani lengo awe hivi na yeye akawa tofauti inaumiza mno
 
😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…