Hahahaha paschal bana [emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji28]Duh...!. Kumbe...!. Wengine tulikuwa hatujui, kupitia kwako sasa ndio tumejua!. Masikini wewe ulikuwa yote hayo ndio ilikuwa interview yako, kwa taarifa hii uliotoa humu, I'm very sorry kukujulisha kuwa umefeli!.
Pole!.
P
Vipi ulishaona maisha ya waliopo huko?Hivi vijana mnaipendea nini Idara ya Usalama wa Taifa?
Vijana wengi mnaoipenda hii Idara kufanyia kazi huko mnaamini TISS ni ulinzi wa Viongozi tu hasa mkiona ule ulinzi wa Rais.
Vipi yakija mabadiriko ya kisheria na suala la ulinzi wa Rais na Viongozi wengine mashuhuri wa Kitaifa na jukumu hilo wakapewa Polisi Tanzania bado mtaendelea kuipenda Idara hata isiyojulikana mambo yake?
Idara imejengwa kwenye misingi ya Usiri mkubwa kuanzia ajira mpaka majukumu yake.
Mzee baba tambua kwamba scrutiny hawafanyii watu wote milioni 60, bali huchagua few candidates wenye vigezo wanavyotaka.WA TZ MILLION 60
unataka kusema wao Kaz nikuziba nafasi ya marehemu na wastaafu na wateule kwamba wao hawana utaratibu wakuongezeka Ili kukidhi MAHITAJI ya dunia
Hahahaha nyie ndo walewale wa recruitment kipindi Cha NyerereMzee baba tambua kwamba scrutiny hawafanyii watu wote milioni 60, bali huchagua few candidates wenye vigezo wanavyotaka.
Hawa candidates huwapata kutoka jeshini, polisi, vyuoni n.k.
Swali wanawapataje hao candidates?
Wanawapata kwa kupitia Cv zao. Elewa kwamba ndani ya TISS kuna kitengo maalumu kwa ajili ya recruiting. Kazi ya kitengo hichi ni kutafuta potential candidates huko vyuoni, jeshini n.k.
Siyo lazima uwe mwanajeshi au polisi, wakiona unakidhi vigezo vyao basi mafunzo mengine utapewa. Kigezo namba moja ni IQ.
Hata mimi ndio ningekuwa ofisa uajiri TISS, wewe nisinge kuajiri kwasababu Tiss haihitaji watu wajinga wajinga !. Wewe ungefiti zaidi kitengo cha propaganda cha chama cheti.LEO WIKIPEDIA NIMEFUTA KABISA KUHUSISHA VYOMBO VYETI VYA USALAMA NA KUSHAMBULIWA KWA TUNDULISU
NILI EDIT KWA MARA YA KWANZA KIPINDI CHA KAMPENI ILI WATAKAOMSOMA HISTORIA YAKE WASIJEICHUKIA NCHI HII MAANA WALIANDIKA UWONGO MWINGI ILA NIKABAKIZA MAKOMBO LEO NIMEUA FUTILIA MBALI.
View attachment 1936005
ONA HAPO
View attachment 1936004
HAPO
View attachment 1936006
HAPA
View attachment 1936007
MWISHO ILIVYOKUWA
View attachment 1936008
VIJANA TUNATOA MSAADA SANA KWA NCHI HII
KUNA MOJA YA LATE JPM
WAMEIBLOCK KUSIWE NA EDIT ILI I AKI AMUKUFA KWA COVID-19 NINA WAVIZIA HAWATA AMINI
WAMELOCK
View attachment 1936018
Wamebadilisha kidogo tuuu
View attachment 1936017
Hii ya rumors ndo ya kufutia mbali
View attachment 1936016
ONA HAPO
View attachment 1936004
Bonge la ujumbe
wanao apply kazi yoyote mbele yao...Mchakato wao haupo transparent hata kidogo...
Wenye uwezekano mkubwa wakuingia huko ni wale wanao apply kazi yoyote mbele yao...
Wanaingilia TRA then wanazama ofisin kwaohawa jamaa kwakweli mambo yao hayaeleweki na ya siri sana .. mfano pale stesheni kuna ofisi yao ila hata siku moja sijawai kuona mtu anaingia wala kutoka sasa sjui huwa wanapitia wapi
Knowledge wapinzani Tanzania wangetokea wapiHata mimi ndio ningekuwa ofisa uajiri TISS, wewe nisinge kuajiri kwasababu Tiss haihitaji watu wajinga wajinga !. Wewe ungefiti zaidi kitengo cha propaganda cha chama cheti.
Taarifa za mgonjwa wa Nairobi ziliandikwa na gazeti la the nation, jee wewe uliwahi kusikia serikali ikikanusha?. Mtu unaetakiwa kujiunga Tiss unapaswa kuwa knowledgable ila kunyamaza kimya. Wewe una fit zaidi kwenye chama sio Tiss!.
P