Nimejitahidi kila mbinu kuwa mwanaintelijensia bila mafanikio

Nimejitahidi kila mbinu kuwa mwanaintelijensia bila mafanikio

LEO WIKIPEDIA NIMEFUTA KABISA KUHUSISHA VYOMBO VYETI VYA USALAMA NA KUSHAMBULIWA KWA TUNDULISU

NILI EDIT KWA MARA YA KWANZA KIPINDI CHA KAMPENI ILI WATAKAOMSOMA HISTORIA YAKE WASIJEICHUKIA NCHI HII MAANA WALIANDIKA UWONGO MWINGI ILA NIKABAKIZA MAKOMBO LEO NIMEUA FUTILIA MBALI.

View attachment 1936005

ONA HAPO
View attachment 1936004

HAPO
View attachment 1936006

HAPA
View attachment 1936007

MWISHO ILIVYOKUWA

Screenshot_20210913-134225.jpg

VIJANA TUNATOA MSAADA SANA KWA NCHI HII

KUNA MOJA YA LATE JPM

WAMEIBLOCK KUSIWE NA EDIT ILI I AKI AMUKUFA KWA COVID-19 NINA WAVIZIA HAWATA AMINI

WAMELOCK

Screenshot_20210913-135445.jpg

Wamebadilisha kidogo tuuu
Screenshot_20210913-135247.jpg

Hii ya rumors ndo ya kufutia mbali

Screenshot_20210913-135509.jpg

ONA HAPO
View attachment 1936004
 
Duh...!. Kumbe...!. Wengine tulikuwa hatujui, kupitia kwako sasa ndio tumejua!. Masikini wewe ulikuwa yote hayo ndio ilikuwa interview yako, kwa taarifa hii uliotoa humu, I'm very sorry kukujulisha kuwa umefeli!.
Pole!.
P
Hahahaha paschal bana [emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji28]
 
Hivi vijana mnaipendea nini Idara ya Usalama wa Taifa?

Vijana wengi mnaoipenda hii Idara kufanyia kazi huko mnaamini TISS ni ulinzi wa Viongozi tu hasa mkiona ule ulinzi wa Rais.

Vipi yakija mabadiriko ya kisheria na suala la ulinzi wa Rais na Viongozi wengine mashuhuri wa Kitaifa na jukumu hilo wakapewa Polisi Tanzania bado mtaendelea kuipenda Idara hata isiyojulikana mambo yake?

Idara imejengwa kwenye misingi ya Usiri mkubwa kuanzia ajira mpaka majukumu yake.
Vipi ulishaona maisha ya waliopo huko?
Achana na mshahara ambao ni Siri mm naongea normal life kama mavazi naamakazi?

Na familia?
 
WA TZ MILLION 60

unataka kusema wao Kaz nikuziba nafasi ya marehemu na wastaafu na wateule kwamba wao hawana utaratibu wakuongezeka Ili kukidhi MAHITAJI ya dunia
Mzee baba tambua kwamba scrutiny hawafanyii watu wote milioni 60, bali huchagua few candidates wenye vigezo wanavyotaka.

Hawa candidates huwapata kutoka jeshini, polisi, vyuoni n.k.

Swali wanawapataje hao candidates?

Wanawapata kwa kupitia Cv zao. Elewa kwamba ndani ya TISS kuna kitengo maalumu kwa ajili ya recruiting. Kazi ya kitengo hichi ni kutafuta potential candidates huko vyuoni, jeshini n.k.

Siyo lazima uwe mwanajeshi au polisi, wakiona unakidhi vigezo vyao basi mafunzo mengine utapewa. Kigezo namba moja ni IQ.
 
Hahahaha nyie ndo walewale wa recruitment kipindi Cha Nyerere
 
Mchakato wao haupo transparent hata kidogo...

Wenye uwezekano mkubwa wakuingia huko ni wale wanao apply kazi yoyote mbele yao...
 
LEO WIKIPEDIA NIMEFUTA KABISA KUHUSISHA VYOMBO VYETI VYA USALAMA NA KUSHAMBULIWA KWA TUNDULISU

NILI EDIT KWA MARA YA KWANZA KIPINDI CHA KAMPENI ILI WATAKAOMSOMA HISTORIA YAKE WASIJEICHUKIA NCHI HII MAANA WALIANDIKA UWONGO MWINGI ILA NIKABAKIZA MAKOMBO LEO NIMEUA FUTILIA MBALI.

View attachment 1936005

ONA HAPO
View attachment 1936004

HAPO
View attachment 1936006

HAPA
View attachment 1936007

MWISHO ILIVYOKUWA

View attachment 1936008

VIJANA TUNATOA MSAADA SANA KWA NCHI HII

KUNA MOJA YA LATE JPM

WAMEIBLOCK KUSIWE NA EDIT ILI I AKI AMUKUFA KWA COVID-19 NINA WAVIZIA HAWATA AMINI

WAMELOCK

View attachment 1936018

Wamebadilisha kidogo tuuu
View attachment 1936017

Hii ya rumors ndo ya kufutia mbali

View attachment 1936016

ONA HAPO
View attachment 1936004
Hata mimi ndio ningekuwa ofisa uajiri TISS, wewe nisinge kuajiri kwasababu Tiss haihitaji watu wajinga wajinga !. Wewe ungefiti zaidi kitengo cha propaganda cha chama cheti.

Taarifa za mgonjwa wa Nairobi ziliandikwa na gazeti la the nation, jee wewe uliwahi kusikia serikali ikikanusha?. Mtu unaetakiwa kujiunga Tiss unapaswa kuwa knowledgable ila kunyamaza kimya. Wewe una fit zaidi kwenye chama sio Tiss!.
P
 
Mchakato wao haupo transparent hata kidogo...

Wenye uwezekano mkubwa wakuingia huko ni wale wanao apply kazi yoyote mbele yao...
wanao apply kazi yoyote mbele yao...
Huu ndo ukichaa ku apply chochote unafikiri mchezo si mtu unazeekea ukiwa una apply tuu
 
hawa jamaa kwakweli mambo yao hayaeleweki na ya siri sana .. mfano pale stesheni kuna ofisi yao ila hata siku moja sijawai kuona mtu anaingia wala kutoka sasa sjui huwa wanapitia wapi
Wanaingilia TRA then wanazama ofisin kwao
 
Hata mimi ndio ningekuwa ofisa uajiri TISS, wewe nisinge kuajiri kwasababu Tiss haihitaji watu wajinga wajinga !. Wewe ungefiti zaidi kitengo cha propaganda cha chama cheti.

Taarifa za mgonjwa wa Nairobi ziliandikwa na gazeti la the nation, jee wewe uliwahi kusikia serikali ikikanusha?. Mtu unaetakiwa kujiunga Tiss unapaswa kuwa knowledgable ila kunyamaza kimya. Wewe una fit zaidi kwenye chama sio Tiss!.
P
Knowledge wapinzani Tanzania wangetokea wapi

Si tungekuwa kama China Mzee
Kama TISS viwango unayoisemea ww
Kashfa zote za rushwa zingenuswa kabla hata hazijatokea

Au ujawahi msikia alichokisema HANS

Dr. Hassy Kitine (PhD) ambaye aliongoza idara hii kwa miaka miwili toka mwaka 1978 hadi 1980. Kitine alichaguliwa kuongoza idara hiyo nyeti akiwa kijana wa miaka 36 tu. Anakumbukwa kwa jinsi alivyoiwezesha TISS kushirikiana na Idara ya Usalama na Utambuzi Jeshini (MI) Chini ya Meja Jenerali Tumainieli Kiwelu, kuiteka nyara ndege ya makomandoo kutoka Libya iliyokuja kumsaidia Idd Amin katika vita ya Kagera

Kuhusu kashfa za rushwa na mambo ya Twiga kwa ndege?
 
Back
Top Bottom