Nimejuta: Sitatamani tena binti kupitia Social Media!

Hujaelewa,unaposema sijui mambo yako unaleta humu jamvini,ndio nakuuliza hivyo!Unataka jukwaa hili kiwekwe kitu gani?Mbona kama tunaongea lugha 2 tofauti?
Weee ndio hujanielewa.
Unataka nikasome post yako kule siasa kwani mie nataka siasa?
Tulia hapa MMU ulikoleta mada
 
hiyo Catalunya umeenda lini hapo?
 
Weee ndio hujanielewa.
Unataka nikasome post yako kule siasa kwani mie nataka siasa?
Tulia hapa MMU ulikoleta mada
Sawa,sijataka ukasome ila nilikuwa nakuelewesha why siwezi kujiidentify!!!!!Wala sijataka ukajibu kule!
 
Yani picha zinasambaa humu huku wengine tuna ndugu had wazazi wanaperuzi JF si hatari hyo
Hatari kabisa
Ila ile thread ilikuwa ina guest wengi sijapata ona.
Ila wanaume wa humu Jf baadhi hawajielewi hataaaaaa.
Wa hovyo hovyo tu muda wote
 
Ndio hivo.
Tuishi nao kwa akili.
Wakitutaka, tukiwakataa watatusema na tukiwakubali wanatusema pia.

Sijui huwa wanatakaga nini hawa viumbe
Wamejichomea yaani utasema mjusi aliyepigwa na jua kalala kichwa chini tumbo juu
 
Hatari kabisa
Ila ile thread ilikuwa ina guest wengi sijapata ona.
Ila wanaume wa humu Jf baadhi hawajielewi hataaaaaa.
Wa hovyo hovyo tu muda wote
Yani hatari mbona si huwa hatuwaanzishii nyuzi za kuwazalilisha kweli wanaume wanahesabika
 
Hahahahabababah
Hahahahahhahah
Hahahahhahahaaaaajajajahajaja

Ulimnusa?
Hahahahahahahaj
Ulisema hukutaka hata kumsogelea, umejuaje ana harufu?
Ndio maana Mzigua90 alisema si mikorogo yote ina harufu.
Kama alipaka Obagi je....
Hahahahjajajanajaj
Hapana,ila mimi na mwenye mkorogo tofauti!Sikujua kama wananuka k,ukiongezea na hilo(kama ni kweli) basi najipongeza kwa kusepq!Sasa nashangaa unanishambulia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…