Nimejuta: Sitatamani tena binti kupitia Social Media!

Ha ha ha post zinaweza kuwa poa hadi antena ikakamata vizuri, na katika post hizo mwanaume kuna picha anakuwa anaiweka kichwani,akitegemea mwisho wa siko alichokiona kwenye post kinaendana na mtu aliyemuweka kichwani.
Ila kweli, unaona post za madame unategemea utakutana na bonge la shori.
Hahahhaha
Kumbe unaenda kukutana na mbilikimo wa Congo
Lazima usande
 
Ila kweli, unaona post za madame unategemea utakutana na bonge la shori.
Hahahhaha
Kumbe unaenda kukutana na mbilikimo wa Congo
Lazima usande
Au unakuta madame ni msela anazingua tu
 
Ngekewaaaa hagaayaaaaaaaa GEGEDA GEGEDUAAAAAAAAAAAAAAAA..........
 
Kughafilika ni kutokukumbuka. Sijui ulitaka kusema nini?!
 
Ila kweli, unaona post za madame unategemea utakutana na bonge la shori.
Hahahhaha
Kumbe unaenda kukutana na mbilikimo wa Congo
Lazima usande
Ha ha ha taswira niliyonayo kwako ni mweupe kiasi,chura ipo,na una ubonge fulani...Ikija imetokea mmekutana na matokeo yamekuwa tofauti na matazamio hayo,ndipo shida inapoanza.
 
Unaamini huku jf pia yupo?
 
Asa kumbe.
Mie msela nondo....mie mpaka kukaba nakaba.
Nina sura moja ya kibabe sana.
Makovu uso mzima...kama nimezimiwa sigara
Au unakuta toto laini,full soap soap
 
Rule 1.sitongozi demu ambaye sijawahi kumuona kwa macho manake sipendi surprise mie. Rule 2. Sitongozi hovyo
 
Rule 1.sitongozi demu ambaye sijawahi kumuona kwa macho manake sipendi surprise mie. Rule 2. Sitongozi hovyo
Angalia usinefikisha miaka 50 ndio ukaanza kutongoza hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…