Nimekata tamaa ya kupata Mtoto

Nimekata tamaa ya kupata Mtoto

Habari za wakati huu,

Wakuu naomba angalau msaada wa mawazo najua humu kuna wajuvi na watalaam mbali mbali kuhusu maswala ya afya.

Mimi ni kijana na nimetimiza miaka 27, nina mke lakini sijafanikiwa kupata mtoto na ni mwaka wa 3 toka nimekutana na mke wangu ingawa yeye ana mtoto aliyempata akiwa secondary. Tumesha kwenda hospital kupima tukakutwa wote hatuna tatizo lolote na tumeshatumia dawa mbalimbali lakini tumeshindwa kufanikisha lengo.

Lakini bila kusahau nimesha muuliza wife kama alishawahi kutumia uzazi wa mpango hapo kabla, akasema nikweli aliwahi kutumia p2 na hata sindano lakini ni muda umepita coz kunakipindi aliwahi kutokwa na kijinyama fulani, na alikua anasumbuliwa na tumbo na mzunguko wa hedhi usioeleweka japokua tumeshatafuta mitishamba sasa yuko good kuhusu maumivu na hedhi kukaa vizuri.

Kwakweli imefikia kipindi nawaza sana maana umri unayoyoma tuu, naomba kama kuna watu wameshapitia changamoto kama hizi wanisaidie japo mawazo.
P2 zilisha fanya yake kitambo. Hizo zingine kama majira pia zilikata funua long time ago.
Mtoto wa mkeo yupo we chakata mbususu tu iwe kama huku majuu, kuolewa/kuoa au kuzaa ni mambo yaliyopitwa na wakati.
Kijana kula maisha, acha mambo ya kijima.
 
Wife hatakuambia ameweka kinga ya muda mrefu. So we kuwa mtulivu. Wanawake wapatapo mimba nje ya ndoa hupenda kutumia kinga hasa sindano ili kujilinda na mimba nyingine sisizotarajiwa moja ya side effect ya sindano ni hiyo ya kutoshika mimba unapoitaka
 
Na kwanini mara zote ushauri kwa watu dizain hii hushauriwa kwenda kuzini nje.

Mungu ameshawapa baadhi ya watu ufahamu wa kutengeneza vifaa vya kuonyesha kama mtu ana tatizo au hana na wataalamu wa kupima wapo why always solution iwe ni kwenda kuzini tu?
Hiyo ndio njiq rahisi, sasa mdanganye mwenzio. In short kupiga nje ni muhimu, mambo ya kuqmbizana sijui imekaa hivi mara vileee. Acheni kudanganyana. Kuna wakati damu huwa inachengana asee, unakutana mtu ana mtoto tayari na weww unaye tayari lakini mkija kuoana mtoto inakuwa shida kupata. Zipo scenario kibao, ila unakuta hapo mwanamke lazima atakuja kudinywa nje anazaa na jamaa anajua ni damu yake.
 
Habari za wakati huu,

Wakuu naomba angalau msaada wa mawazo najua humu kuna wajuvi na watalaam mbali mbali kuhusu maswala ya afya.

Mimi ni kijana na nimetimiza miaka 27, nina mke lakini sijafanikiwa kupata mtoto na ni mwaka wa 3 toka nimekutana na mke wangu ingawa yeye ana mtoto aliyempata akiwa secondary. Tumesha kwenda hospital kupima tukakutwa wote hatuna tatizo lolote na tumeshatumia dawa mbalimbali lakini tumeshindwa kufanikisha lengo.

Lakini bila kusahau nimesha muuliza wife kama alishawahi kutumia uzazi wa mpango hapo kabla, akasema nikweli aliwahi kutumia p2 na hata sindano lakini ni muda umepita coz kunakipindi aliwahi kutokwa na kijinyama fulani, na alikua anasumbuliwa na tumbo na mzunguko wa hedhi usioeleweka japokua tumeshatafuta mitishamba sasa yuko good kuhusu maumivu na hedhi kukaa vizuri.

Kwakweli imefikia kipindi nawaza sana maana umri unayoyoma tuu, naomba kama kuna watu wameshapitia changamoto kama hizi wanisaidie japo mawazo.
Test mitambo nje usikilizie majibu kwanza
 
Pole sana, utapata mkuu....popo kanyea mbingu imefanikisha wengi
 
Mnapishana na ovulation. Fanyeni sex kila siku katika siku zake zote za mzunguko wa hedhi. Kuna mtu namfahamu alikaa more than 7 yrs ila akapata. Usitumie sana madawa utua figo hizo.
 
P2 zilisha fanya yake kitambo. Hizo zingine kama majira pia zilikata funua long time ago.
Mtoto wa mkeo yupo we chakata mbususu tu iwe kama huku majuu, kuolewa/kuoa au kuzaa ni mambo yaliyopitwa na wakati.
Kijana kula maisha, acha mambo ya kijima.
Baada ya ww kuzaliwa ndo kuzaa kumepitwa na wakati. Hahaha
 
Back
Top Bottom