Nimekoma walahi! Pilau la buku nimelinunua kwa 32,000 za dripu mbili

Buku tu.. unashushiwa kifusi uhangaike nacho..

Nakumbuka tuko udsm 2018 nikapelekwaga kwa mafundi wale wanaojenga kijazi miaka hiyo. Msosi wa buku sikuumaliza mana mwingi sana lakin kutoka pale kwenda chuo niliishia Coet tu nikaanza kukimbiza mwenge
🀣🀣🀣 waliweka hamira pole, sema wewe mmelo hukomi!!
 
Km huna pesa tulia utajichosha, hayo maji marefu kukusikiliza unachomuitia tu utapasuka wallet… una pesa ya kumpeleka karambezi resta? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Aah acha kumtisha kijana bwana!unajua huyu kijana atakuja toboa tu yuko na plan nyingi ngingi hachagui kazi...nikimpata nampa ushauri aende mgodini mimi natafuta masoko uraianiπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Aah acha kumtisha kijana bwana!unajua huyu kijana atakuja toboa tu yuko na plan nyingi ngingi hachagui kazi...nikimpata nampa ushauri aende mgodini mimi natafuta masoko uraianiπŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…