Nimekosa ujasiri kwenye hili

Usichangie ujenzi kwenye kiwanja cha mwanamke na hampo kwenye ndoa. Kama mpo kwenye ndoa sawa iyo mali ni yenu ata itokee mmegombana nyumba sio yake wala yako niya ndoa maana mmeichuma pamoja . Busara zingine za kimahakama zitatumika kingawanyo
Shukran sanaa mkuu umesema busara
 
Ushauri wangu kuwa naye kwenye mahusiano ila jenga kwako kaka yaani alipojenga yeye wewe isikuumize sana. Usi entertain ujenzi wake wewe fanya na pambana na maisha yako.

Duniani wazungu wengi wapo hivi ila every one hustles. Yaani bills on your own.
😀 Shukran Sanaa boss nimekuelewa
 
Ninaona bado ni hatua za mwanzoni za mapenzi usiji-attach naye hivyo. Muache aendelee na projects zake. Mkiwa wachumba prelude to marriage mnaweza mkashiriki kwa pamoja kwenye projects.
Thanks jamii forum
 
Usifanye kosa kama hilo kwa wanawake, mwenzako ameona umri unakwenda anapalilia ndoa. Anakupelekaje site hajakujulisha anajenga hilo ni kosa ana-tabia za kuficha huko mbeleni atakusumbua, mtu mwenye upendo anakuwa mkweli, muwazi, anakushirikisha jambo kabla hajafanya , wewe unakubalije kupelekeshwa hivyo.Hapo marafiki huna sauti ukiingia kwenye ndoa ndiyo itakuwa balaa. Usiingie kwenye ndoa kijinga tengeneza uchumi wako kwanza
 
sasa wewe jichanganye ukadhani huo ni mserereko yani kuna siku atakuja kukwambia maneno ya dharau na kukuletea shombo ukikumbuka umechangia hela lakini hati ya kiwanja ni yake walahii unaweza kuua…. ACHANA NA MALI ZA MWANAMKE ULIZOMKUTA NAZO UKITAKA MUISHI KWA AMANI TAFUTA ZAKO. Ila kama unataka kula ane bata tu hapo sawa usiweke hela yako hapo kwenye hiyo nyumbaaa utakuja KULIA.
 
Ushauri mzuri sana kijana tafuta vya kwakohuyukakuwekea mtego baadaye atakuumiza, fanya kazi kwa bidii, mwombe Mungu uchumi wako uwe mzuri zingatia haya
 
😀 Asante kwa ushaur mzuri Ila umekuwa na gazabu Sanaa, ungenikata makofi ningekuwa karibu. Ila asante boss nmekuelewa🙏
 
Shukran mkuu, ushaur mzur Sanaa. Umeona vemaa.🙏
 
Ushauri mzuri sana kijana tafuta vya kwakohuyukakuwekea mtego baadaye atakuumiza, fanya kazi kwa bidii, mwombe Mungu uchumi wako uwe mzuri zingatia haya
Thanks boss
 
Katika aya ya pili umemshauri vyema sana mkuu. Ubarikiwe kwa mawazo na ushauri wako kwa mleta mada.
 
Asante mkuu. Tuko hapa kusaidiana kadri iwezekanavyo.
Yaani mkuu mimi JF nimejifunza mambo mengi. Kuna watu wa aina zote, washauri wazuri, wadhalilishaji, waleta soga, wenye kuwajenga watu kifikra na kimaendeleo, nk. Yaani humu kuna mambo yote. Ni kichwa chako tu kinachohitaji u focus wapi. JM ni kisima cha maarifa tosha pia. Kuna ushauri humu ukifuata UNATOBOA mkuu. [emoji120][emoji106]
 
Umemaliza yote. Niliwahi kuwa na mahusiano na aliyenizidi pesa, na umri. Nilimcontrol nikaishi nae fresh tu. ni kujiamini tu. Mwanaume silaha ya kwanza ni kujiamini na kuijua nafasi yako kuwa ww ni wa kiume. Baada ya hapo, tafuta pesa mdogomdogo. mwanamke unamcontrol utakavyo.
 
Kila kitu kipo hapa. Me mpaka wife amenibatiza jina na mwanajf[emoji23][emoji23][emoji23]

Mkuu Melo aishi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…