Hongera mkuu, si wengi wana ufahamu huo. Kujiamini ndo kila kitu. Wanawake wanaojielewa are attracted to leadership.Umemaliza yote. Niliwahi kuwa na mahusiano na aliyenizidi pesa, na umri. Nilimcontrol nikaishi nae fresh tu. ni kujiamini tu. Mwanaume silaha ya kwanza ni kujiamini na kuijua nafasi yako kuwa ww ni wa kiume. Baada ya hapo, tafuta pesa mdogomdogo. mwanamke unamcontrol utakavyo.
Wacha kulia, achana naye, nitakuunganishia kwa Kajala au mwanaye....naomba contacts zake tafadhali.
Kama unataka kushiriki ujenzi muandike majina yenu otherwise kitakuwa ni kiherehere kuchangia ujenzi usiokuhusu na wala hujaombwa kuchangiaNatumaini ni wazima wa afya na poleni na majukumu.
Niingie kwenye mada.
Mimi ni mwanaume nina miaka 24, najishughulisha na kazi binafsi Ila bado kipato changu sio kikubwa. Miezi michache iliyopita nilifanikiwa kuwa na mahusiano na binti mrembo na muonekano wake ni kama ana miaka 20 hivi.
Nilimueleza ya moyoni akanielewa saivi tupo kwenye mahusiano. Sikujua kumbe binti ana kazi nzuri ameajiriwa na kaka yake na kipato kikubwa tu anapata. Miaka yake ni 26 Ila kimuonekano ni mdogo, juzi kanambia tuende mahali kumbe ni kununua materials ya kupeleka site, kumbe ana eneo na nyumba msingi umeanza.
Tukienda mahali hata pesa za manunuzi ananikabidhi na akiwa busy ananiomba nikasimamie mafundi. Nashindwa kuwa na ujasiri wa kuchangia ujenzi naomba ushauri halafu pia wakuu hili ni zali au nikimbie tu nimuache na projects zake.
Bora ajifanye bahili tu kwa sasa 😂😂😂 kwamba ndio anapambana na biasharaUsithubutu kutoa hela yako kuwekeza kwenye ujenzi wake
Ila mambo mengine fanya
Peleka materials tu mchango wako uwe nauli tu za kwendea site maana kama mshaanza kutibuana mapema namna hio hapo hamna mwendo!😂Asante kwa ushaur boss. Na io nyumba vipi? Yan ni play kivipi hapo? Tuchangie nguvu tu au na pesa?
Hahahaha anaogopa kum control demu ambaye ana interest nayelack of confidence among wanaume ni gonjea kubwa sana.
yaan ww hata mirrage affairs hutaweza ku handle kwa uwoga huu.
kua kwanza
Hii ngoma ni “REFUND” ya Draw No Bet.Wale wazee wa kubeti tunaitaje hii
Hamishia mabegi ila uombe demu asiwe na akili za shilole tu 😂😂😂 maana utafurumushwa kwa aibu humo hutaamini aheri uhamie kutoka geto kwako uwe unakuja usiku kumkaza tuYaan hapa ndo mnamtia uoga mtoa mada,,me naona iko sawa kama demu anampenda yeye aendelee tu,tena kama ingekuwa mm naandaa na mabegi ya kuhamia kwa demu akimaliza ujenzi[emoji23]..Yaan hapo yeye aanze kujijenga mwenyewe pembeni ikiwezekana na ka ujenzi pembeni taratibu bila demu kujua,,siku pakinuka basi taratibu anajongea kwake,huwezi jua inawezekana demu akawa funguo kwa jamaa kutoboa kirahisi!
Yule ni kama Iran au Taliban leo wapo meza moja keho wanapindua 🤣🤣🤣🤣ndo maana tunamwambia aangalie kuti la kukaliaHamishia mabegi ila uombe demu asiwe na akili za shilole tu 😂😂😂 maana utafurumushwa kwa aibu humo hutaamini aheri uhamie kutoka geto kwako uwe unakuja usiku kumkaza tu
Mwamba unataka namba tu 😂😂😂 aisee sahizi amna mtu anataka demu mzigo😂Acha akili za kimaskini wewe ni MWANAUME Malizia nyumba hiyo, nunua kiwanja/viwanja jenga zingine, kama hutakua na amani kukaa hapo hakikisha unajenga kwingine hiyo mtapangisha mwanaume ndio mwenye maamuzi.
Usiwe na mawazo ooh kwamba mwanamk ana hela au laa fanya maendeleo usije ukaacha mtu anayejiweza kwenda kukimbilia tegemezi changa karata zako vizuri mtu anayejiweza kuna mgawanyo wa majukumu na hapa utajiri ndo upo.
Mwanamke kama huyo huwazi vitu vidgo vidgo unawaza mambo makubwa makubwa tu sasa wewe muache utajuta atapata mtu mwingine mwenye kujitambua wataenda sawa.
Kama unamucha naomba namba zake🙏.
Eeh ni muhimu sana kuijua saikolojia ya mwanamke uliyepo nae hasa how she behaves when she gets mad ama endapo mtatofautiana! Its very important to know kuliko hata smiles zake za kinafiki!Yule ni kama Iran au Taliban leo wapo meza moja keho wanapindua 🤣🤣🤣🤣ndo maana tunamwambia aangalie kuti la kukalia
Hii paragraph ya mwisho ndio muhimu kuliko yote yaliotanguliaHio ni dalili kwamba anataka hio nyumba iwe yake peke ake na hataki mchango wako wowote.
Ushauri wa kwanza usichangie kitu coz bado hamjaoana.
Ushauri wa pili usiachane nae kisa unajiskia inferior. hilo ni tatizo lako sio lake. ukiachana nae kisa amekuzidi kiuwezo angali yeye amekukubali hivyohivyo utakua na matatizo ta self esteem.
Ushauri wa tatu nyumba ya pamoja mtajenga mkioana.
Ushauri wa nne akimaliza nyumba akikwambia ukakae nae usikatae. nenda kaishi nae umjue mapema tabia zake kabla hujatia nanga.
Hahaha demu mwenyewe bado ana miaka 4 mbele ya kuendelea kuwinda mwanaume anayemtaka hapo sio pa kutegemea sana!sasa wewe jichanganye ukadhani huo ni mserereko yani kuna siku atakuja kukwambia maneno ya dharau na kukuletea shombo ukikumbuka umechangia hela lakini hati ya kiwanja ni yake walahii unaweza kuua…. ACHANA NA MALI ZA MWANAMKE ULIZOMKUTA NAZO UKITAKA MUISHI KWA AMANI TAFUTA ZAKO. Ila kama unataka kula ane bata tu hapo sawa usiweke hela yako hapo kwenye hiyo nyumbaaa utakuja KULIA.
Watu wanachemka hapo tu, mwanamke akikupenda hata amiliki ghorofa 3 kariakoo we ndio unakuwa final say...Only when you have confidence enough to handle her! Atakusikiliza kuliko mtu yeyote 😂😂😂 watu sijui mnakwama wapi yani unaanzaje kumtetemekea manzi!Umemaliza yote. Niliwahi kuwa na mahusiano na aliyenizidi pesa, na umri. Nilimcontrol nikaishi nae fresh tu. ni kujiamini tu. Mwanaume silaha ya kwanza ni kujiamini na kuijua nafasi yako kuwa ww ni wa kiume. Baada ya hapo, tafuta pesa mdogomdogo. mwanamke unamcontrol utakavyo.
Vijana wa leo wengi wana factors zao. That's where they many got smokedEeh ni muhimu sana kuijua saikolojia ya mwanamke uliyepo nae hasa how she behaves when she gets mad ama endapo mtatofautiana! Its very important to know kuliko hata smiles zake za kinafiki!
😂😂Na anajisahau anasemaga duuh hii nyumba yangu inanimalizia hela😅 ila mkuu, ukienda site hata cement ya ghafla ikihitajika uwe mnyonge? au misumari ipelee utulie😂Peleka materials tu mchango wako uwe nauli tu za kwendea site maana kama mshaanza kutibuana mapema namna hio hapo hamna mwendo!😂