Nimekubali bora nigharamikie tu lakini kamwe sitakuja kununua malaya

Tuelezee mwanamke wako yupoje, then tukuambie n malaya au sio malaya.
 
Ni udhaifu tu wa kibinadamu siyo ugonjwa wa akili. Halafu hata ndani ya ndoa pia kuna watu wana share. Yaani unahudumia bado unapewa kwa mgao na kuna wengine wanapewa kwa garama nafuu au bure kabisa.
 
Ni udhaifu mkubwa sana, kuna na wale wanaolala na vidada vya kazi, kuna wale wanaotumia advantage ya shida ya mdada kuwa kama ticket ya kutimiza haja zao, hao wote hawana utofauti.😅😅.

Mimi binafsi kama hamna reforms sipigi kura, lazima nihakikishe reforms zipo na tume ni huru so kipute kinapigwa kwenye neutral ground, tunashindana kwa hoja na ubora wa sera, ukishinda hata ukikaa ukitafakari unaishia tu kujipongeza huku unajiambia kimoyo moyo Mimi ni mwamba bwana, badala ya kujutia, na ukishindwa the same.
 
Kwa kwel inasikitisha sana
 
Huyo unayemgharamikia unafikiri unafanya pekeyako?,mko mabwana sio chini ya watatu hapo
 
Duuh.....umefafanua sana.

Hahaha
 
Nmecheka😂
Sasa mkuu happ si wote mnanunua malaya
Mkuu kwenda kununua kwa mtu ambaye unajua kabisa kuna Masai mchafu mchafu katoka kukojoa hapo na wewe unaingia na ukitoka anaingia mwingine. Inahitaji mtu punguani kabisa kuwa na ujasiri huo
 
Ni udhaifu tu wa kibinadamu siyo ugonjwa wa akili. Halafu hata ndani ya ndoa pia kuna watu wana share. Yaani unahudumia bado unapewa kwa mgao na kuna wengine wanapewa kwa garama nafuu au bure kabisa.
Saikolojia ya kawaida haikubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…