Nimekubali bora nigharamikie tu lakini kamwe sitakuja kununua malaya

Jomba kama akili yako inafanya kazi basi unatakiwa ujue tu hii Kamba ngumu! Huyo unayemgharamikia kuna sehemu ana ratiba zake kwa bei tofauti tofauti.
 
Eti "wa kwako"πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œwelcome to the hood!
 
Ni maamuzi tu cha MUHIMU ni haja itimizwe. Zingine mbwembwe tu
Ndio haja itimizwe kwenye vilivyooza? Hata kama mtu ana kiu kiasi gani unaweza kunywa maji ya Vyoo vya Mbagala
 

Hakuna mtu Dunia hii anayelala na Malaya
 

Hakuna mtu Dunia hii anayelala na Malaya
 
Ndio haja itimizwe kwenye vilivyooza? Hata kama mtu ana kiu kiasi gani unaweza kunywa maji ya Vyoo vya Mbagala
Mifano haiendani hapo na ndio maana ukienda kwa hao dadaz ndomu lazima ili kuepuka huo uozo unaosema japo pia nyapu haiozi mkuu
 
Hizo sampuli za wanaume wanao nunua malaya zina roho ngumu kwelikweli,πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ hata kichaa wa barabarani akikaa vizuri na kichwa cha chini kimepata moto zinaweza kubutua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…