Nimekuja Arusha, nimeshangaa kukuta wanawake wanapiga konyagi na K-Vant

Nimekuja Arusha, nimeshangaa kukuta wanawake wanapiga konyagi na K-Vant

Teh teh hawana mambo ya naomba desperado sjui Heineken,leta bucket [emoji1]

Ova
Arifu niaje? Umenitenga jamaa angu, ni maniaje niaje yaani unataka kuninyima hiyo shilingi chalaaa angu?[emoji23][emoji23] umekuja kuwaje mangulooo? Aaah, i miss arusha.. lazima nijenge huko aisee. Napapenda sana. Tunalize kazi jamaa angu bana
 
Wakuu,

Sijui ni stress za maisha au ni nini?

Toka nimefika Arusha, kila bar ninayoenda naona wanawake pombe yao kubwa ni konyagi na K-Vant.
What is wrong with these beautiful ladies?
Vipi kuhusu uvutaji wa shisha kwa mademu huko chuga? Na uongeaji wao wa kiume, sauti za kike huko hamna, ila kwa mapaja wanaongoza, na visura fulani hivi na rangi zao
 
Uki kaa vibaya watakupiga hao wanawake wa arusha waogope hao ni kama wankenya kukupiga wewe hawaoni kazi
Nipigwe na mwanamke!!!?..tandika punch moja ya mdomo,Kisha mtazame Kama bado anataka,Kama bado jeuri muongeze,hakuna mwanamke anayevumilia ngumi
 
Mtu unaenda Picnic sijui Mrina
Mara Bills river
Lazima ukutane na ulokutana nayo
Mbona hata Kipong wapo wengi tu wa hivyo, ila picnic pana amsha popo balaa, usipokuwa makini asubuhi hii hapa.
 
Sio nyakati zote..
Hiyo ni kuanzia 2020 kurudi nyuma huko
Sahivi jua kama kawa..

Hapa nimelala na kyupi tu
Na jioni hii mvua ilipiga ya kushato
Lkn hamna baridi
Ha ha ha haaa. Pande za wapi?
 
Nakumbuka wakat nipo Arusha niliwah kuwa na demu wa klimanjaro siku za wkend tulikuwa tunakaa kwa nje ya chumba chetu tunaanza kunywa konyagi mdogo mdogo ilikuwa burudani sana baada ya hapo ni mnyanduano wa hatari kama tunawazimu
 
Mbona hata Kipong wapo wengi tu wa hivyo, ila picnic pana amsha popo balaa, usipokuwa makini asubuhi hii hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23] heeh, watoto wa kwamfugambwa... hivi mlambai nayo je? Khaa...
 
Back
Top Bottom