mweusi asili
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 2,035
- 3,358
Hii sio kwa eliza pekeake ni kwa wanawake wengi wako ivyo hasa awa waliosoma kidogo au wanaojifanya wa mjini wanaweka standards nyingi mpaka wanajikuta wanakosa mahusiano bora wanaishia kudanga tuJamaan, usimshambulie Eliza namba hiyo
Milango ya umasikini dhiki,ufukara na majuto.Upi??
tiGoUpi??
Kiru😱tiGo
AiseeMilango ya umasikini dhiki,ufukara na majuto.
DuHii sio kwa eliza pekeake ni kwa wanawake wengi wako ivyo hasa awa waliosoma kidogo au wanaojifanya wa mjini wanaweka standards nyingi mpaka wanajikuta wanakosa mahusiano bora wanaishia kudanga tu
Ndio ukweli huo utakuta kidada kinataka kuolewa ila kina masharti Kama mganga anayetoa utajiri ndio maana hawapati mahusiano bora na hata wakipata hayo mahusiano bado hawawezi kutulia na mtu mmoja
Mkuu ndo maana na kupenda sana hasa huo uzi namba tatu umenifariji sana na huu upare wangu 🤩🤩🤩🤩 labda naweza pata chochote kitundio
nipe maua yangu!
kitu cha thamani kabisa kwangu ni kama kila kitu, ni mda wake kwangu. Akiweza nipa mda wake ( ameniweza )..Jibu swali basi
stress mzeeeUkiondoa pussy, sioni kingine mwanamke anachoweza kuniofa mimi
mwanamke akikupa UCHI wake huwa anaona amekupa kila kitu.......hivi nyinyi wanawake yaani mama zetu na dada zetu akili zenu huwa zipo kwenye nyuchi zenu?
Anaetoa utajiri NI Mungu sio mgangaNdio ukweli huo utakuta kidada kinataka kuolewa ila kina masharti Kama mganga anayetoa utajiri ndio maana hawapati mahusiano bora na hata wakipata hayo mahusiano bado hawawezi kutulia na mtu mmoja
UweeMkuu ndo maana na kupenda sana hasa huo uzi namba tatu umenifariji sana na huu upare wangu 🤩🤩🤩🤩 labda naweza pata chochote kitu
We muda wowote unatoa au?!kitu cha thamani kabisa kwangu ni kama kila kitu, ni mda wake kwangu. Akiweza nipa mda wake ( ameniweza )..
KiruKatolewa hadi masega au kwa lugha ya huku mbagala kapalangiwa huyo