Nimekupa kila kitu, na bado umeniacha" Malalamiko ya madada wengi

Si ungemuacha basi kama uliona WA malengo wapo
Kwanini unemcheleweshea muda wake
 
Hii ndio point...mwanamke ni wa ngono tuu hakupi ata kitu kingine.
Mfano rahisi tuu muombe adhamini pambano la minyamduano uone anavyoruka mile 60. Hawa ni kugegeda tuu na kutupa kule🤣🤣🤣🤣
Ukitaka kuona hawa watu. Siku akiumwa utasikia bebi naumwa, jifanye umeuchuna. Malalamiko mengi. Hapo unatakiwa umhudumie, umpe hela akanunue dawa.
Siku umeugua wewe utasikia pole ya mikono mitupu.
Akija kukuona anakuja mikono mitupu, akifa mwagize dukani akuletee hata maji. Atakuomba hela.
tofauti na ngono, mwanamke hana cha kukupa
 
Soma tena comment yako ya mwanzo mkuu, yani mnataka mwanamke afanye majukumu yake ya nyumbani ila bado mnasema hana kingine cha kuoffer zaidi ya sex, mnataka tena aanze kusaidia na majukumu yenu ya kulipia bills za nyumbani is that fair
 
Huyo mwanamke anavyokuja anakuwa hakupikii hakufanyii usafi kwako au
 
Yawezekana yafuatayo

Muda (alitegemea atamuoa ,akaacha waoaji)

Mizinga ,alipigwa mizinga akatoa

Tendo landoa ,mwamba akapewa lango la taka ,na lango la uzazi

Pamoja na hayo yote ,hajaona thamani yake
 
Huyo mwanamke anavyokuja anakuwa hakupikii hakufanyii usafi kwako au
Ukishamaliza kufanya usafi. Unaomba hela ya nauli na mahitaji mengine urudi kwenu.
Hivyo vyote vimekuwa vimeshalipiwa. Hapo tunakuwa tumeshalipia, ni sawa na kumpa hela mtu akufanyie usafi.
Unaweza kufanya hivyo vyote bila ya kuomba hela?
Hayupo mwanamke anayempenda mwanaume ambaye hana hela
 
Hivi kwani ukiacha hela mwanaume ana kipi kingine cha kumpa mwanamke
Acha kujifanya hujui ndugu? Hapo ulipo kila kitu unamtegemea mwanaume kula yako, kuvaa, matibabu, malazi n.k
Umeme ukikatika ndani, unamsubiri mwanaume ndiyo ajaze hata km unafanya kazi.
 

nina demu simpi chochote na nikimuita geto lazima atimbe hanidai hela wala nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…