Nimekuta vitu kama dawa za kishirikina jikoni kwa mchepuko wangu

We unavyomuona hapo ana nguvu ya kuikataa
Si umemsoma kasema anataka aone mchezo unavyo enda kwa kifupi dawa imeshaanza kazi
Na hizo alizoona ni chache tu
Mambo yalisha fanyika hizo ni dose za kumalizia kazi
Asubiri rehema za Mungu atoke hapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] achaaa kunipa wenge weweeeeeeee
 
Anatoaga shit tambo tu nyuma ya keybord
Hajatengenezwa huyu dudu haisimami popote zaidi ya Kwa muhusika [emoji28][emoji28][emoji28]atajua hajui
Usikazie sana my Dear... Usipojikubali mwenyewe nani atakukubali

Kiuhalisia mimi ni mweusiiiiiii macho madogooooo ya kijapani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Japo ni ngumu kwa walio wengi ila BAKI NJIA KUU mkuu wangu.....
 
Surgeon umepatikana.....

Atakupulusa visenti vyote tunavyokupa ukitupasua NGIRI ZETU 🤣🤣🤣
 
We unavyomuona hapo ana nguvu ya kuikataa
Si umemsoma kasema anataka aone mchezo unavyo enda kwa kifupi dawa imeshaanza kazi
Na hizo alizoona ni chache tu
Mambo yalisha fanyika hizo ni dose za kumalizia kazi
Asubiri rehema za Mungu atoke hapo
Sasa boss unamsaidieaje akiepuke hiki kikombe...?
 
Tuko kwenye kipindi ambacho wanawake 10 wanataman kuishi na mwanaume mmoja haswa mwenye mafanikio.Ungejua wanachojadili mabinti walionje ya ndoa ...wanasema mchepuko bila limbwata haendi.Japo nikiri waz msiposimama katika kweli wanaume mna hatari kubwa mnakula sana vichafu
 

.
 
.
 
Ikiwa umekuta jikoni, basi ni viungo....
 
Anakupenda huyo tulia wewe, kwani kilikupeleka nini kwake? Au ulikuwa unampotezea muda tu mtoto wa watu?
Ningemwona ningempa na nyingine ukienda kwa mkeo haisimami Ila ukija kwake jogoo halali
 
Shem Umemuagaje mama watoto akakubali ulale nje lakin? Au ndo mamiloo eeh wiki hii shift yangu ya night doh! @1 kush Africa mwenzio kapatikana hukuuu hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…