Nimekuwa mtanashati mno hadi kuwa kero kwa wengine


dalili za mwanzo za kuwa shoga, siu utanashati hu, tafuta maana ya utanashati... huo ni ulimbukeni
 
Hapana mwanaume wa kweli pesa
Mi nadhani hili ndio la msingi,na nilichogundua ni kuwa wanaume wenzangu wengi ni wachafu tena wengi wao inaonyesha ni wachafu wa kupindukia,kisha wanasingizia sababu za kuogopa kuwa wataonekana mashoga kitu ambacho si kweli.
 
Wewe kitaalam umehadhirika na ugonjwa wa kisaikolojia unaoitwa uoga wa vijidudu au Germophobia. Unaitaji counseling uachane na uoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…