Nimekwazwa na bandiko la Robert Mtibeli linalosema eti 'Wanaume na Wanawake wako sawa kiakili', - Siyo kweli

Kuwa na EGO ni dhambi, especially EGO kama yako kujiamini unajua zaidi ya wengine mpaka kuwawekea makundi.

Umezungumzia issue ya gender ndio nikakujibu hata JF ipo, wewe ulidai JF haipo, ndio nikakuuliza kama kwenye society yetu ipo, iweje JF isiwepo ikiwa members wa JF ndio wanaotoka kwa society yetu?

Kwamba JF inabadilisha tabia za watu, nikakuuliza how?

Naona hata hukumbuki ulivyoviandika mwenyewe!.
 
Okay nimeelewa.
 
Haya mkuu

Mfano unaenda store kununua doll, macho yako at first glance, si unavutiwa na doll kwanza ndio unajua linavyo function na cost yake...ni mfano tu niambie kitu cha kwanza ni nini...?!

Second, watu hawana njia ya kuonyesha wana shilling ngapi bank kwenye paji la uso ila mwanaume attractive unamuona at first glance..

Tatu kama wewe ni mbaya, huwezi kubadilisha huo ukweli kwa kiwango cha pesa, na mkiwekwa pamoja mbele ya wanawake watamuangalia zaidi mtu attractive, ndio second waangalie shida zao wamchague mjomba wako..initially mjomba wako hana chance..

Lastly only fraction of women prefer older rich men, most prefer vijana wenzao waliowapita miaka mitatu minne. Wewe jukusanyie pesa usioe ukadhani pesa zako ndizo zitakupa mwanamke potential uzeeni..
 
Para ya kwanza nakuachia wewe hiyo.

Ya pili nilikuwa najaribu kukuonesha kuwa hatujampinga prida kwasababu ya gender, mara nyingi JF wanawake tunateteana kwasababu ni kundi ambalo kwa maoni yangu ni vulnerable. Contextually JF imetulazimisha kuteteana, hivyo kama tumempinga mleta mada usiplay gender card.

Sijasahau nilichosema, sikumaanisha ulivyotafsiri.
 
Bado naamini umempinga mleta mada kwasababu ya gender, sababu kila nikisoma majibu yako kwenye comments mengi hayajajitosheleza.
 
Sasa kuna uhalisia gani hapo?
Si umerudia nilicho Sema mimi?

Mambo hayo ya doll mkuu yanakwenda kwenye pscho analysis. Hapo Kuna factors nyingi... Pesa, priority na matumizi. So it's not a one size fits all. Na inakuwa tofauti kidogo na sexual attraction.

Tatu kama wewe ni mbaya, huwezi kubadilisha huo ukweli kwa kiwango cha pesa, na mkiwekwa pamoja mbele ya wanawake watamuangalia zaidi mtu attractive, ndio second waangalie shida zao wamchague mjomba wako..initially mjomba wako hana chance..
Shikilia hapo hapo umesema?
Wanaangalia physical kwanza, then wanaangalia changamoto, why?

Jibu ni lile lile madam, kwanini asiende kwa broke and attractive? Hata Hao waliosoma na kujipata hakuna aliye wahi kuchukua mwanaume fukara na asiye na maisha, he's not intimate appealing!

So unakubaliana na mimi ngoja ni bold kabisa it was physical at first but was out - weighed by safety, security and power"

Je tuna cha kuongezea?

Lastly only fraction of women prefer older rich men, most prefer vijana wenzao waliowapita miaka mitatu minne. Wewe jukusanyie pesa usioe ukadhani pesa zako ndizo zitakupa mwanamke potential uzeeni..
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai mh, Reginald Mengi alifanyajee.. Nenda mavyuoni ukaone wazee wa navyo kula nyama mbichi.
 
Savana au ka red wine ka brand yeyote kakake

Maelezo Meeeeeeeeengi,
 
Hii comment yako imejaa EGOISM na ina lots of gap.

- Unasema mtibeli hajaeleweka, kwanini asieleweke? anaandika kwa kiarabu au kichina? wewe unayejiona umemuelewa ulienda kusomea kumuelewa chuo gani?

Nobody is twisting anything there.

- Unaandika tunatumia uzoefu binafsi kama sheria, kwani mtibeli alivyokuja na lile bandiko lake alitumia uzoefu gani tofauti na wake binafsi kama umemuuliza?!

- Kutumia rejea yoyote ni chaguo la mleta mada, kama yeye ameamua kuja na ya kihistoria, wewe njoo na rejea yako ya kileo hujakatazwa.

- Mleta mada kuchagua ushahidi unaoendana na msimamo wake ni kawaida, unataka aje na ushahidi unaotofautiana na msimamo wake ili ajipinge mwenyewe? Kama angefanya hivyo si wote tungemcheka humu ndani?!

Hapo nimekuonesha baadhi tu ya mapungufu kwenye hoja zako, japo ndio unajiona mwalimu wa wengine unayechagua nani umjibu na yupi umuache.
 
Kama unakubali wote initially tunatamani attractive person basi unakubaliana na theory wote tuko sawa, tuna hisia sawa..!

Hata sielewi unapinga nini, kubishana na mtu kama hivi ni ngumu sana, so, bye!
 
Umeolewa?samahani lakini kama swali langu litakukera unisamehe
 
Kama unakubali wote initially tunatamani attractive person basi unakubaliana na theory wote tuko sawa, tuna hisia sawa..!

Hata sielewi unapinga nini, kubishana na mtu kama hivi ni ngumu sana, so, bye!

So it's a theory and not reality?

Hiyo unayosema ni initial ila sio final, na. Uhalisia ni kuwa final makes the decision. Na ndio ukweli, mawingu huanza kabla ya mvua
 
🚮🚮🚮🗑️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…