Nimekwazwa na bandiko la Robert Mtibeli linalosema eti 'Wanaume na Wanawake wako sawa kiakili', - Siyo kweli

Nitakujibu prida
 
Ndio maana majibu ya watu wengi tangu kwenye uzi wa mtibeli yana sema.., Mwanamke na mwanaume kihisia na kiakili wanafanana kwa kiasi kikubwa kuliko wanavyotofautiana.

Baada ya kuona kuwa tunafanana kuliko tunavyotofautiana ndio tunaweka vigezo ili tupate mzani wa kupimia. Vigezo hivi hatuvitoi tu kwa kujisikia ni vile vilivyojadiliwa /kufanyiwa tafiti tofauti tofauti.

Mimi nilimuunga mkono mtibeli 100, sio kwasababu alinipa mental orgasm (alinifurahisha) bali kwasababu aliibua kitu cha ukweli/uhalisia lakini hakizungumziwi mara nyingi, Kwa upande wa pridah baada ya kusoma watoa comments waliomuunga mkono nikagundua kuna vitu yuko sahihi, kuna engo yuko sahihi. Na labda tuseme wote wako sahihi katika engo tofauti.

Hizi mada ni kubwa, pana sana, pengine wanaweza kuja waandiiishi wengine 10 wakaleta engo zingine 10 tofauti na wakawa sahihi.
 
Interesting.

Kwamba: no matter what dunia inabadilika halafu inaangukia pale pale (nature) sio?

Maana yake nyingine ni kuwa, no matter tunavyojitahidi kufukia gap kati ya ME na KE gape linazidi kuwepo sababu asili inatulazimisha kuangukia circle ile ile, wanaume kuwa mbele na wanawake kuwa nyuma (Reflection kwenye jamii ndio imekupa hili jibu)

Uko sawa, lakini bado hauja-consider factor zingine ambazo zimekupekelekea kudraw hii conclusion.
 

Hakuna psychological factor nyingine tena tunapo Kuja kwenye nature.. Labda unipe perspective yako ila nachojua ni kuwa just like the sun and the moon, Masculine and feminine polarities zita baki kuwa vile vile

We lie to ourselves thinking our way into something eternal
 
Nimeelewa sana wise girl, mwanzoni ego yangu haikuruhusu..😂
Mbona sipati mrejesho wa comment yangu ya survival? Naona ume like tu!
Truth is nilielewa kuwa ego yako inanitandika.

Nimejibu, hapo chini, Comments yako ime-make sense, nikirate kwa uelewa wangu binafsi naiweka 8 out of 10, bado sina concept nzuri ya kukanusha hiyo 2 ila naliona tobo.
 
Truth is nilielewa kuwa ego yako inanitandika.

Nimejibu, hapo chini, Comments yako ime-make sense, nikirate kwa uelewa wangu binafsi naiweka 8 out of 10, bado sina concept nzuri ya kukanusha hiyo 2 ila naliona tobo.
For sure na haikuwa mimi tu, wewe ndo ulianza.. Sema it's over

Japo inamapungufu yake pia ila it's a very strong point.
 
Kuna vitu unaficha hutaki kukubali sijui mtibeli alikupa nini... Mental orgasm can be!.

You are claiming unataka majibu ya kitafiti, binafsi naamini hoja alizoweka Pridah kuzungumzia mood swing upande wa wanawake, ni complete matokeo ya kitafiti.

Ajabu unasema 100% una support mtibeli ambaye binafsi sikumbuki kwenye andiko lake kudai wanawake na wanaume wako sawa kihisia, kama alitumia tafiti yoyote, it was complete his own thoughts!.

Ndio maana unaandika; "mtibeli aliibua kitu cha ukweli na uhalisia lakini hakizungumziwi".

Nijuavyo, "kuibua" maana yake ni kutoa, kufichua, au kuanzisha kitu ambacho kilikuwa kimefichika [google], sasa hapo kuna tafiti gani mpaka umuunge mkono mtibeli 100%?! Au mtibeli ndie tafiti yako!.

Tafiti inatakiwa iwe proven na relevant authorities ndio ithibitishwe, sasa hiyo ya mtibeli ilithibitishwa wapi?!

I still believe you don't know what you are writting up until now!.
 
Makofi sana kwako prida umewasirisha kwa kueleweka hatua kwa hatua. Huko ndio kupingana kwa hoja. Hongera sana kwako.

Sio yale magonjwa mtambuka,makitu sijui Traatra na menzie mende ya nini yale yako tayari kuwauzia utu wao mafisadi sbb ya buku 7
 
Makofi sana kwako prida umewasirisha kwa kueleweka hatua kwa hatua. Huko ndio kupingana kwa hoja. Hongera sana kwako.

Sio yale magonjwa mtambuka,makitu sijui Traatra na menzie mende ya nini yale yako tayari kuwauzia utu wao mafisadi sbb ya buku 7
Asante sana mkuu🙏
 
Again umejibu sehemu ndogo tu ya nilichoandika, kumuunga mkono mtibeli kwa 100.

Umeskip sehemu nyingine ya kuwa baada ya kusoma mtifuano according to pridah nimeelewa hii engo, hiyo umeiacha.

Nikisema hii mada ni kubwa pia hujaelewa maana yake?

Repetitively ni mpaka niandike mimi ndio uone najua, okay sijui… we good?

Umeona kwanini Binti wa zamani amesema exactly nilichosema kuwa hawezi kuandika tena sababu vimeandikwa tayari, i guess you can’t comprehend this.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…