ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Acha wivu.....Kama unataka kumsifia dhalimu we msifie tu kwa namna yako, lakini hakuwa anaogopwa kihivyo. Kama angekuwa anaogopwa hivyo tusingeona watu kuchimba na kujiunganishia bomba la mafuta.
Na wale aliowapora hela kwenye Bureau de change wanamsifia kwenye post ipi?
Ha ha haMagufuli alikuwa ni meneja hapo dawasa kimara
Nilimwaga chakula chake yaani anakula mimi nipo namsemesha akawa linakula huku linanisemeaha na chakula mdomoni.Hahaha ulimfanyaje
``Mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya.....nimesacrifice maisha yangu kwaajili ya watanzania maskini''Ofisi za Umma zimeanza kurudi enzi za Kikwete aisee huduma mbovu majibu mabovu na wanajua huna pa kuwapeleka.
Dawasa Kimara kumbukeni mnafanya huduma jamani mtatuua [emoji23][emoji23] yaani imefanya nimkumbuke marehemu Magufuli aisee may he continue rest in heaven sasa namwelewa japo too late.
Hapa nani alikutoa mahabusu mkuu? Napita tuuSiku mfanyakazi wa Umma akinijibu vibaya mjiandae kuja kunitoa mahabusu. Washenzi sana tena sana. Kuna dada mmoja alinijibu huku anakula chakula nilichompa najua hatokaa anisahau kbs maishani mwake.
Umeelewa topic? au unapuyanga tu kisa unahasira na MAGUFULI?Nchi hii haikuwahi kushuhudia utovu wa nidhamu kuoneshwa na watumishi wa umma kama kipindi cha Magufuli, wananchi walikuwa wakidharirishwa hovyo wakiongozwa na yeye mwenyewe sana sana watumishi wadogo ndiyo walikuwa wakinyanyasika zaidi na kudharauliwa,kuonewa na kutishwa hovyo na Ma DC's na ma RC's labda mseme mlikuwa mnafurahishwa na unyanyasaji wa wananchi wakiwemo hao watumishi wa kada ya chini.
Mmh. Ok. Labda hadi they bring their behaviour to your doorstep ndo utaelewa its not someone else problem but OUR problem kama tax payers.Watumishi wa Umma wameteseka sana jamani waacheni wajinafasi.
Unakosea kidogo mkuu.Ofisi za Umma zimeanza kurudi enzi za Kikwete aisee huduma mbovu majibu mabovu na wanajua huna pa kuwapeleka.
Dawasa Kimara kumbukeni mnafanya huduma jamani mtatuua 😂😂 yaani imefanya nimkumbuke marehemu Magufuli aisee may he continue rest in heaven sasa namwelewa japo too late.
Siyo hayo tu uliyotaja, hana hata habari ya kurekebisha chochote bila ya ukali.Hili la nyodo kwenye ofisi za umma awamu hii linakwenda kuwa baya hata kuliko wakati wa Kikwete. Huyu mama by nature hana haiba wala tabia ya ukali.
Kwani wewe mkuu uliwaulizaje? Inawezekana umeanza kuwaulizia sawali lako kwa nyodo, lazima wakujibu kwa nyodo pia!Ofisi za Umma zimeanza kurudi enzi za Kikwete aisee huduma mbovu majibu mabovu na wanajua huna pa kuwapeleka.
Dawasa Kimara kumbukeni mnafanya huduma jamani mtatuua 😂😂 yaani imefanya nimkumbuke marehemu Magufuli aisee may he continue rest in heaven sasa namwelewa japo too late.
Hoja za kipuuzi kabisa, kumbe ndio maana mnaitwa nyumbu.Unakumbuka Magufuli !!!
Hakukuuwia nduguyo?
Hakumteka nduguyo?
Hakubomoa nyumba yako ama ya nduguyo?
Hakumfukuza kazi nduguyo kwa husuda?
Hakumpora nduguyo fedha zake?
Hakumweka ndani nduguyo kwa uonevu?
Hakumtukana nduguyo hadharani?
Huyu mtu siyo wa kumkumbuka hata kidogo.
Nilimwaga chakula chake yaani anakula mimi nipo namsemesha akawa linakula huku linanisemeaha na chaj
aisee nanusa harufu fulani ya kaugomviDawasa kimara hii Ni mwezi wa Sasa watu wamefanyiwa survey na kufanya malipo na Risit zipo ila hawaji kuunga maji.
Kila siku wanasema vifaa hawajanunua. Wanashindwaje kununua vifaa wakati tumelipia hela?... Serikali sijui iko wapi. Mkuu wa Dawasa kimara hatumtaki. Kama waziri anasoma humu tunaomba amfukuze kazi mkuu wa Dawasa kimara Kuna michezo michaFu anaifanya.
Waziri aende pale atangaze mitaani watu ambao wamefanya malipo lakini hawajaunganishiwa maji. Kuna watu wana mpaka miezi 5 tangu walipe kuunganishiwa maji lakini hawajaunganishiwa. Wanataka uwape rushwa ndio Waje kukuungia.
Dawasa Kimara msidhani kila raia ni wapuuzi kaeni mkijua ukiona raia haongei kwa upuuzi mnaofanya msijione washindi. Mkiona Kobe kainama jua anatunga sheria.
Dawa yenu inakuja.
Hili ndilo tunakosea watanzania. Kutoa huduma siyo kushindana na wateja kwa nyodo au dharau. Unapokuwa sehemu yoyote ya kutoa huduma unapaswa kuheshimu wateja wako wote. Na wateja wako wa aina nyingi na wenye tabia nyingi lakini hupaswi kuonyeshana nao umwamba. Miiko ya customer care inakataza.Kwani wewe mkuu uliwaulizaje? Inawezekana umeanza kuwaulizia sawali lako kwa nyodo, lazima wakujibu kwa nyodo pia!
Na mimi nakubaliana na wewe. Ila kujenga hizo system lazima uwe na kianzio. Na kianzio ni kuwa na kiongozi asiyependa uzembe. Magufuli kwenye hili eneo alikuwa hana simile lakini kosa lake ni kutokuweka system kama ulivyosema. Na kingine: watanzania tuna utamaduni wa uzembe na uvivu. Hili ni janga kuu na lipo kila mahali. Mtanzania hatimizi wajibu wake bila ya vitisho. Dawa ni waliye juu kuwa mkali, aweke system inayoeleweka ya kupokea na kushughulikia uzembe kama huu.Tatizo sio mwendazake, tatizo ni lack of system or institution to keep these corrupt civil servants in check.
Dah....tumpe muda Mama banaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]Hili la nyodo kwenye ofisi za umma awamu hii linakwenda kuwa baya hata kuliko wakati wa Kikwete. Huyu mama by nature hana haiba wala tabia ya ukali.
Kwanini iwe Ndugu?..Unakumbuka Magufuli !!!
Hakukuuwia nduguyo?
Hakumteka nduguyo?
Hakubomoa nyumba yako ama ya nduguyo?
Hakumfukuza kazi nduguyo kwa husuda?
Hakumpora nduguyo fedha zake?
Hakumweka ndani nduguyo kwa uonevu?
Hakumtukana nduguyo hadharani?
Huyu mtu siyo wa kumkumbuka hata kidogo.
Acha wivu.....
tutamkumbuka kwa mema
Jiwe ndie aliekuwa anaenda kukulipia bili au? Acha upuuzi wakoOfisi za Umma zimeanza kurudi enzi za Kikwete aisee huduma mbovu majibu mabovu na wanajua huna pa kuwapeleka.
Dawasa Kimara kumbukeni mnafanya huduma jamani mtatuua [emoji23][emoji23] yaani imefanya nimkumbuke marehemu Magufuli aisee may he continue rest in heaven sasa namwelewa japo too late.
Shida wengi hawaelewi 'Customer Service' you have to leave your attitude and mood swings at home. Ukishindwa basi wapishe wenye wito wa kazi hiyo ya kutoa huduma. Tatizo hawana ushindani ndio maana wanachukulia pouwa. Ingekuwa Private Sector wangeuona muziki.Hili ndilo tunakosea watanzania. Kutoa huduma siyo kushindana na wateja kwa nyodo au dharau. Unapokuwa sehemu yoyote ya kutoa huduma unapaswa kuheshimu wateja wako wote. Na wateja wako wa aina nyingi na wenye tabia nyingi lakini hupaswi kuonyeshana nao umwamba. Miiko ya customer care inakataza.