Nimelia machozi baada ya kusikiliza Mahubiri ya Nabii Denis Kuhusu Tanzania

Akatoa mfano hivi Waziri Mkuu na Watoto wake wana tofauti gani na sisi. Sote si binadamu na tuna mwili na nyama? Kwanini mmoja alindwe, apewe kila kitu na serikali na mwingine anyimwe? Mifano ikawa mingi.
Kwa hali tuliyo nayo atakamatwa na kuwekwa kizuizini
 
Jana nimesikiliza Mawazô, maoni, maombi na dua anazoliombea Tanzania Nabii Denis Samweli nilimwagika machozi. Nilihuzunika sana.

Huzuni hio iliambatana na matumaini kwamba Taifa letu la Tanzania soon inabii unaenda kutimia. Litakombolewa.
Hayo maneno mekundu ukiyatumia hakikisha una CC mwenye hati miliki nayo Lucas Mwashambwa
 
Hahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…