Nimelia machozi baada ya kusikiliza Mahubiri ya Nabii Denis Kuhusu Tanzania

Hili kanisa linaonekana lina pisi ...
 
Huyu atadakwa huyuu....
😭😭
 
Huyu Huyu wenda ndie Mungu wangu alisema atamleta , atakuja na injili ya upako?? Mungu wangu nipe jibu
 
Naomba location uyu mtumishi
 
Mungu atuondolee hawa viongozi wabinafsi, atupe wale watakaotufikisha nchi ya maziwa na asali.
 
Nimejikuta natoa machozi ,ghafla mungu nisaidie nijue kama ndo yule ulinimbia
 
Hiv hawa manabii wa kileo mbona wanahubiri au unabii nini maana yake mimi ndio cjui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…