Nimelia machozi baada ya kusikiliza Mahubiri ya Nabii Denis Kuhusu Tanzania

Nitajiunga na
huduma ya mtumishi huyu na imekuwa chini ya jua
 
HAPANA, shida ni CCM! Asitusingizie ndoto zake, na mwaka huu CCM wanachomoka tu
 
Huyo nabii wako muongo, hakuna mtu aliyeitwa Raisi Suleiman, kwenye Bibilia ameitoa wapi hiyo, huyo nabii anaongeleaje kukumboa watu watu viongozi wanashinda kwenye madhabahu za waganga? baadhi ya makuhani na hao manabii wanashirikiana na madhabahu za waganga, ardhi imekunywa damu za kafara kwahiyo imenajisika angeanzia huko
 
Wee kijana kunywa maji mengi wenge liishe
 
Ukimaliza kutoa machozi utuambie, huyo anayekwenda kuikomboa Tanzania kwa mujibu wa Nabii Huyo, ni nani?
🤣🤣🤣 waweza kuta n njaa inamsumbua ndy maana analia ivi kwl kwa akili yako ulie kwa kusikiliza maneno ya nabii wa karne ya 21!
 
Mkuu ni kweli wapo wasiowaminifu kwa Bwana. Lakini sio Wote.
 
Mkuu ni kweli wapo wasiowaminifu kwa Bwana. Lakini sio Wote.
Viongozi wa nchi wakienda kutoa kafara na wanawaongoza wanajisika mkuu, mawaziri na wabunge wanakimbizana kwa waganga, ili kulinda nafasi zao, mbaya zaidi na makuhani wanashinda huko huko
 
Viongozi wa nchi wakienda kutoa kafara na wanawaongoza wanajisika mkuu, mawaziri na wabunge wanakimbizana kwa waganga, ili kulinda nafasi zao, mbaya zaidi na makuhani wanashinda huko huko
Nakubali hoka yako lakini sio wote mtumishi Daudi
 
Ubepari ni mfumo rithishwa unaokuwa na tabia za divide by rule sitaona ajabu wenye mamlaka kulinda sheria zisiharibiwe sababu zinawafavor.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…