Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Naona mwenyekiti kawahi huku kupangua hoja zako ili atetee tumbo lakeSijarogwa bwashee.
Ni swala la kujadili maendeleo tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona mwenyekiti kawahi huku kupangua hoja zako ili atetee tumbo lakeSijarogwa bwashee.
Ni swala la kujadili maendeleo tu!
Kwanza Chadema ni mali ya watanzania wote kwa sababu inajiendesha kwa kodi zetu hivyo nina haki na wajibu wa kuizungumzia.Kama kauli mbinu yenu ni mahendereho hayanaga richama, unaisakama CHADEMA ambacho Ni chama cha kisiasa ili upate nini?
Well said, original John the Baptist alikatwa kichwa kwa kumkosoa magumashi wa kipindi hicho a.k.a Herode.Halafu hilo jinga lilikosea sana kujiita johnthebaptist. Linamjua kweli John the Baptist mwenyewe na msimamo wake? Yule John wa ukweli aliyempa makavu Mfalme Herode,kama angekuwepo leo, angeunga mkono utopolo unaofanywa na JeiPiiiEm kama anavyouunga mkono johnthebaptist?
Halafu kuna mwingine anajiita @YEHOYADA. Jameni acheni kudhalilisha wenye majina yao.
CHADEMA haijawahi kuikosoa CCM, kwasababu CCM iko very minor kwa CHADEMA.Kwanza Chadema ni mali ya watanzania wote kwa sababu inajiendesha kwa kodi zetu hivyo nina haki na wajibu wa kuizungumzia.
Pili, kama ambavyo Chadema inaisakama CCM kila inapopotoka basi na yenyewe ikubali kukosolewa pale inapolazimu.
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa....... Bwashee Bujibuji tangu Tulia awashughulikie hapo mjini umekuwa na hasira sana!Well said, original John the Baptist alikatwa kichwa kwa kumkosoa magumashi wa kipindi hicho a.k.a Herode.
Sio takataka hili la kuitikia ndio kila kitu
Kisha ujiulize imekuwaje pamoja na yote hayo, pamoja na kuzuiliwa vikao na mikutano kwa miaka 5 nchi nzima, Uchaguzi ulipokuja, ilibidi CCM, Polisi, NEC, TISS na Tamisemi zishirikiane kijinai ili kuishinda Chadema.Ile ni nyumba ya makuti tu,mbowe anaswaga 326m za ruzuku kila mwezi plus michango ya wabunge wa chadema,kujenga ofisi hata yenye ukubwa wa banda la kuku imeshindikana 😃😃😃
Hahahaaaa...... Kama Halima James Mdee ameunga mkono wewe ni nani hapo Ufipa uanze kupinga?!!Halafu hilo jinga lilikosea sana kujiita johnthebaptist. Linamjua kweli John the Baptist mwenyewe na msimamo wake? Yule John wa ukweli aliyempa makavu Mfalme Herode,kama angekuwepo leo, angeunga mkono utopolo unaofanywa na JeiPiiiEm kama anavyouunga mkono johnthebaptist?
Halafu kuna mwingine anajiita @YEHOYADA. Jameni acheni kudhalilisha wenye majina yao.
Wabunge wote wa Chadema wamehamia CCM!
Hawajahamia, WAMENUNULIWAWabunge wote wa Chadema wamehamia CCM!
Hizi jitu mbili Johnthebabtist , Yehodaya na Etwege bila kumsahau Pascal Njaa ni saikatriki case za Milembe , halafu ndio zinasongoza kwa kuanzisha mada uchwara zisizokuwa na kichwa wala miguu mpaka JF imedharaulika sana kuruhusu mautopolo , zikianddkwa mada zenye facts , reasoning , strong argument , lazima zifutwe twende na mada utopolo za uchumi wa kati wa kusadikika , mpaka wachangiaji wa JF wamesepa , wameboki moods na kina Yehodaya .Halafu hilo jinga lilikosea sana kujiita johnthebaptist. Linamjua kweli John the Baptist mwenyewe na msimamo wake? Yule John wa ukweli aliyempa makavu Mfalme Herode,kama angekuwepo leo, angeunga mkono utopolo unaofanywa na JeiPiiiEm kama anavyouunga mkono johnthebaptist?
Halafu kuna mwingine anajiita @YEHOYADA. Jameni acheni kudhalilisha wenye majina yao.
Kwani ukinunuliwa huwezi kuhamia bwashee?!Hawajahamia, WAMENUNULIWA
Hahahaaaa...... Yawezekana hapo Ufipa umebaki peke yako mfia saccos!Hizi jitu mbili Johnthebabtist , Yehodaya na Etwege bila kumsahau Pascal Njaa ni saikatriki case za Milembe , halafu ndio zinasongoza kwa kuanzisha mada uchwara zisizokuwa na kichwa wala miguu mpaka JF imedharaulika sana kuruhusu mautopolo , zikianddkwa mada zenye facts , reasoning , strong argument , lazima zifutwe twende na mada utopolo za uchumi wa kati wa kusadikika , mpaka wachangiaji wa JF wamesepa , wameboki moods na kina Yehodaya .
Kwa nini hawajengi? Kukodi hadi lini? Ushike dola na ofisi ya kukodi!Tatizo kila mwenye jengo anaogopa kumkodishia chadema jengo kwa ajili ya ofisi kwa kuogopa fitna za serikali
Nina mfano halisi, Chadema walitaka kukodisha jengo zima la mtu fulani pale maeneo ya kijitonyama, mwenye jengo alikua na shida kweli ya pesa lakini alipoambiwa mpangaji ni chadema akasema serikali haitoniacha ngoja jibaki na shida zangu
Wanadai kujenga siyo kipaumbele chao!Kwa nini hawajengi? Kukodi hadi lini? Ushike dola na ofisi ya kukodi!
Watanyimwa kibali au hata wakishajenga wataambiwa ni ipen space or either baada ya kujenfa wakapitisha greda kwa madai kuwa wanapanua barabara