Nimelitathimini jengo la Makao Makuu ya CHADEMA pale Ufipa na nimeridhika chama hicho hakijali Maendeleo ya Vitu

kwenye mandege yasiyo na tija

IMG-20201218-WA0012.jpg
 
Halafu hilo jinga lilikosea sana kujiita johnthebaptist. Linamjua kweli John the Baptist mwenyewe na msimamo wake? Yule John wa ukweli aliyempa makavu Mfalme Herode,kama angekuwepo leo, angeunga mkono utopolo unaofanywa na JeiPiiiEm kama anavyouunga mkono johnthebaptist?

Halafu kuna mwingine anajiita @YEHOYADA. Jameni acheni kudhalilisha wenye majina yao.
 
Kama kauli mbinu yenu ni mahendereho hayanaga richama, unaisakama CHADEMA ambacho Ni chama cha kisiasa ili upate nini?
Kwanza Chadema ni mali ya watanzania wote kwa sababu inajiendesha kwa kodi zetu hivyo nina haki na wajibu wa kuizungumzia.

Pili, kama ambavyo Chadema inaisakama CCM kila inapopotoka basi na yenyewe ikubali kukosolewa pale inapolazimu.

Maendeleo hayana vyama!
 
Halafu hilo jinga lilikosea sana kujiita johnthebaptist. Linamjua kweli John the Baptist mwenyewe na msimamo wake? Yule John wa ukweli aliyempa makavu Mfalme Herode,kama angekuwepo leo, angeunga mkono utopolo unaofanywa na JeiPiiiEm kama anavyouunga mkono johnthebaptist?

Halafu kuna mwingine anajiita @YEHOYADA. Jameni acheni kudhalilisha wenye majina yao.
Well said, original John the Baptist alikatwa kichwa kwa kumkosoa magumashi wa kipindi hicho a.k.a Herode.
Sio takataka hili la kuitikia ndio kila kitu
 
CHADEMA haijawahi kuikosoa CCM, kwasababu CCM iko very minor kwa CHADEMA.
CHADEMA inaikosoa serikali
 
Mimi huwa nawashangaa wanaotegemea mabadiriko kupitia Chadema!

Kile siyo chama ni genge la kula hela, si mmeona baada ya kushindwa kwenye uchaguzi jinsi walivyopoteana?

Wengine wameenda canada, wengine kwa amsterdam, wengine wameamua liwalo na liwe bora wakapate chochote kule bungeni.

Ni tanzania pekee ambapo chama cha upinzani baada ya uchaguzi vina paraganyika badala ya kushikamana.
 
Well said, original John the Baptist alikatwa kichwa kwa kumkosoa magumashi wa kipindi hicho a.k.a Herode.
Sio takataka hili la kuitikia ndio kila kitu
Hahahaaaa....... Bwashee Bujibuji tangu Tulia awashughulikie hapo mjini umekuwa na hasira sana!
 
Ile ni nyumba ya makuti tu,mbowe anaswaga 326m za ruzuku kila mwezi plus michango ya wabunge wa chadema,kujenga ofisi hata yenye ukubwa wa banda la kuku imeshindikana 😃😃😃
Kisha ujiulize imekuwaje pamoja na yote hayo, pamoja na kuzuiliwa vikao na mikutano kwa miaka 5 nchi nzima, Uchaguzi ulipokuja, ilibidi CCM, Polisi, NEC, TISS na Tamisemi zishirikiane kijinai ili kuishinda Chadema.
Kosa kubwa la CCM ni kukubali kuugua ugonjwa wa UOGA.
Magufuli anaminya demokrasia ndani ya Chama (MwanaCCM Membe, ni mfano halisi), wanaCCM wote kimya.
Magufuli anajenga Kiwanja cha Ndege Chato, wanaCCM wote kimya.
Magufuli anabomoa misingi ya Baba wa Taifa kwa kuleta UKABILA, (kupindisha Reli ya Kati kwenda Mwanza badala ya Kigoma ni mfano halisi), wanaCCM wote kimya.
CCM kimebaki kuwa Chama cha kuwasaliti Watanzania na kuendekeza UKABILA bila aibu.
Ndiyo sababu ya AIBU iliyolikumba Taifa tarehe 28 Oktoba 2020.
CCM ijitafakari.
 
Halafu hilo jinga lilikosea sana kujiita johnthebaptist. Linamjua kweli John the Baptist mwenyewe na msimamo wake? Yule John wa ukweli aliyempa makavu Mfalme Herode,kama angekuwepo leo, angeunga mkono utopolo unaofanywa na JeiPiiiEm kama anavyouunga mkono johnthebaptist?

Halafu kuna mwingine anajiita @YEHOYADA. Jameni acheni kudhalilisha wenye majina yao.
Hahahaaaa...... Kama Halima James Mdee ameunga mkono wewe ni nani hapo Ufipa uanze kupinga?!!
 
Halafu hilo jinga lilikosea sana kujiita johnthebaptist. Linamjua kweli John the Baptist mwenyewe na msimamo wake? Yule John wa ukweli aliyempa makavu Mfalme Herode,kama angekuwepo leo, angeunga mkono utopolo unaofanywa na JeiPiiiEm kama anavyouunga mkono johnthebaptist?

Halafu kuna mwingine anajiita @YEHOYADA. Jameni acheni kudhalilisha wenye majina yao.
Hizi jitu mbili Johnthebabtist , Yehodaya na Etwege bila kumsahau Pascal Njaa ni saikatriki case za Milembe , halafu ndio zinasongoza kwa kuanzisha mada uchwara zisizokuwa na kichwa wala miguu mpaka JF imedharaulika sana kuruhusu mautopolo , zikianddkwa mada zenye facts , reasoning , strong argument , lazima zifutwe twende na mada utopolo za uchumi wa kati wa kusadikika , mpaka wachangiaji wa JF wamesepa , wameboki moods na kina Yehodaya .
 
Hahahaaaa...... Yawezekana hapo Ufipa umebaki peke yako mfia saccos!
 
Tatizo kila mwenye jengo anaogopa kumkodishia chadema jengo kwa ajili ya ofisi kwa kuogopa fitna za serikali

Nina mfano halisi, Chadema walitaka kukodisha jengo zima la mtu fulani pale maeneo ya kijitonyama, mwenye jengo alikua na shida kweli ya pesa lakini alipoambiwa mpangaji ni chadema akasema serikali haitoniacha ngoja jibaki na shida zangu
Kwa nini hawajengi? Kukodi hadi lini? Ushike dola na ofisi ya kukodi!
 
Watanyimwa kibali au hata wakishajenga wataambiwa ni ipen space or either baada ya kujenfa wakapitisha greda kwa madai kuwa wanapanua barabara

Hisia, hisia, hisia.
Kama wewe ni wa kike ni sawa.
 
Back
Top Bottom