Nimemfumania mchumba wangu je nimsamehe niendelee na mipango ya ndoa?

Fuata ukweli ili uwe huru.Pengine Mungu kaamua kukufunulia ukweli maana kaona wewe nimwaminifu
 
tembeleamisikiti ya sunni
 
Hila na wewe ustadh kuwa serious bhana hilo nalo ni la kuuliza kweli.
 
nipe tu ushauri hila usifananishe kuandika na mambo ya kitandani vitu viwli tofauti kama huamini nenda kariakoo tafuta mbeba mizigo mmoja nenda nae kitandani km hutomsahau mume wako,
 
Karne hii si yakuoa kijana wangu.karne hii zalisha ulee mtt au wtt wako.

Npo hapa dukani kaja boda hapa kachukua ndomu ananiambia anaenda kumla mke wa jamaa ambaye n fundi gereji na ss jamaa anapambana na spana uko .mkewe anaenda kula dud*

Kimbia hapoo
 
nipe tu ushauri hila usifananishe kuandika na mambo ya kitandani vitu viwli tofauti kama huamini nenda kariakoo tafuta mbeba mizigo mmoja nenda nae kitandani km hutomsahau mume wako,
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ushauri wote huo bado unahitaji mwingine??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…