Nimemfumania mchumba wangu je nimsamehe niendelee na mipango ya ndoa?

Ulipomwambia umemuona hakutakiwa kubisha,alitakiwa atoe maelezo kuwa ni kweli nilinda sehemu X na watu/mtu X kuongelea lile suala nililokueleza.Kitendo cha kubisha maana yake anakudanganya.Huyo mwanamke ni hatari kwako.
Kwa maoni yangu,achana na huyo binti tafuta mwanamke mwingine.Ndoa inajengwa katika uaminifu-ni ngumu sana kuishi nyumba moja na mtu ambaye una mashaka naye utateseka nafsi yako.
 
Achana na tapeli hilo, kuanzia bikra, kutoka nje na mtu mwingine na kukataa sio yeye, kula pesa zako etc, unatafuta nini wewe 😂
 
Your browser is not able to display this video.

Chukua maamuzi mabaya mkuu
 
Kwa kipindi chote cha zaidi ya miezi saba ambacho tumekuwa kwenye uhusiano, sijawahi kukutana naye kimwili. Sababu anayotoa ni kwamba yeye ni bikira na ameamua kusubiri hadi atakapokuwa ndani ya ndoa ndipo afanye hivyo.
Huyu ndio demu wako wa kwanza Ustaadh Majinn.
Kakudharau sana 😹😹
 
Ndoa iwe mwaka huu uu nyau wewe acha kuchunguza bata
 
 
Darasa la kwanza mpaka chuo awe bikra enzi hizi?😂...Kijana hicho unachowaza kufanya ndio sahihi sasa jichanganye uone
 
Kwanza tafuta uhalisia kama ni bikra. Pili kama si bikra, kwakuwa wewe ni Muislamu nakushauri achana naye, kama ungekuwa Mkristo ningeshauri tofauti.
 
Msamehe,endelea na mipango ya ndoa pia ukiachilia mbali kumuhudumia,ukipata pesa nenda kajenge ukweni kwa mama yake watakusifia sana,pia ukimuoa hata akifirwa msamehe hadi siku ukimfumania anafirwa na mavi yanatoka ndio temana naye
 
Halafu kuna mwana anajipigia tani yake na inavyoonekena huyo mwana sio muoaji ila ndio anapendwa ndio sababu yeye amekataliwa kwenda out mwana kakubaliwa kiroho safi 😂😂
Mbaya zaidi anaambiwa ni mume wa dada nae anakubali
Taratibu basi bandugu mnataka mwenzenu ajiue? Hebu tuwe positive kidogo. Kwani haiwezekani kwamba huyo mwamba aliyekua naye walikuwa wanatongozana tu hawajakulana? Au haiwezekani kwamba ni kweli ni shemeji yake kwa sister ake? Kuhusu bikra nayo ni ngumu kuthibitisha kama yakwake huyu dada ilitoka yenyewe wakati anacheza volleyball.
 
Mwanangu huyo mwanamke kakuwin ameshakujua wewe mdhaifu tafadhali usioe.
Mwanangu moyo wa kuoa bado usioe kwanza jitahidi upigwe pigwe matukio ili moyo ukomae kwanza
Hivo ukikomaa itakusaidia mwenyewe kujua mtu wa kuoa bila hata ushauri.

Kitendo cha kumkuta sehemu ambapo yeye alikwambia hatoki halafu bado unataka ushauri tena ni kuwa bado hujakomaa maana jibu lilishapatikana ilitakiwa kupiga chini tu.
 
Ustaadh, pole, nimesoma ingawa kwa shida sana.

Achana na Malaya uyo, atakuua. Fanya mambo mengine.
Mkuu Wanawake malaya wanakua na Bahati ya kuolewa, si unaona kama huyu kashajipatia Boya wa kumuoa.
 
Mkuu jamaa kakosea alitakiwa awapige picha
 
sijatoa mahari ila nimetoa barua mahari tulipanga mwezi ujao taree 3
Usitoe mahari kwasababu huyo Bado hajaachana na mpenzi wake na anaonekana bado anampenda huyo Mwanaume, unajua Mwanamke akikupenda anakua yupo chini yani ukimwambia tukutane sehemu anakuja kwa haraka. Jamaa anapendwa ndiyo maana mwanamke Katii wito bila shuluti
 
kosa la kwanza kukudanganya na bado akakaza kuwa sio yeye then badae akakubali na kukwambia ni mume wa dada ake hio ni direct red flag ka chini ongea nae kwa urefu zima hisia washa akili utanishukuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…