Hongera sana!Wasalaam,
Habarini Wana jf,kwanza kabisa niseme nawashukuru wanajamii-forum wote kwa ujumla hasa hili jukwaa letu pendwa la biashara,uchumi na ujasiriamali, kwani tumekua tukipeana mbinu za kibiashara ambazo zinaweza kutusaidia kujikwamua kiuchumi kwa namna moja au nyingine...mbarikiwe sanaaa[emoji119]
Niliwahi kukutana na scenerio ya aina hii, ila yenye nyongeza kidogo. Kuna mtu aliwahi kufanya kitu kama hiki ulichofanya wewe. Baada ya hapo, miaka kadhaa mbele mwenzake naye akafanya hivyo hivyo naye akamjengea mama yake. Kwa hiyo nyumba zikawa mbili wakati huo mjomba wao yuko jirana anaishi kwenye Kibanda cha nyasi. Huyu wa kwanza wakati anajenga, hakuwa na uwezo wa kuwajengea wote, mjomba na mama.Wasalaam,
Habarini Wana jf,kwanza kabisa niseme nawashukuru wanajamii-forum wote kwa ujumla hasa hili jukwaa letu pendwa la biashara,uchumi na ujasiriamali, kwani tumekua tukipeana mbinu za kibiashara ambazo zinaweza kutusaidia kujikwamua kiuchumi kwa namna moja au nyingine...mbarikiwe sanaaa[emoji119]
View attachment 1826439
PointHongera sana mkuu umefanya jambo jema, ila isikufanye uwadharau ambao hawajaweza, kila mtu ana path yake leo wew kesho yule
Kumbe eeh, basi sawa!Na lazima ujue kua ili information ziwe na nguvu...lazima ziwe kwenye cycle ya watu wachache....mtoa mada endelea kuonyesha picha tu. ...if its matter of information don't ever disclose it
-Kweli kabisa mkuu,pole na hongera jibu lake ni "Asante",na nnachofaham ni kwamba maisha ni fumbo kwa hiyo hata nikipata zaidi nitazidi kustay "humble"....Hongera sana mkuu umefanya jambo jema, ila isikufanye uwadharau ambao hawajaweza, kila mtu ana path yake leo wew kesho yule
ume fanya jambo jema kutupa hamasa vijana wenzako hapa jukwaani lakini wengi tume kua tukiuliza ni shughuli gani ume kua ukiifanya ika kupatia mafanikio tuhamasike umeshindwa kukata kiu ya wengi-Kweli kabisa mkuu,pole na hongera jibu lake ni "Asante",na nnachofaham ni kwamba maisha ni fumbo kwa hiyo hata nikipata zaidi nitazidi kustay "humble"....
- since time is relative,aliyefanikiwa katika 20's na ambaye amefanikiwa ktk 60's wote ni sawa sabab ukiwa bado upo hai yapo matumaini ya kufanikiwa....[emoji1666]
Hongera, you can be billionaire, keep it up with time and persistence.Ujasiriamali mkuu
Financial markets ndio nini ? Mbona unatufanya wajinga wewe dogo, umepiga picha nyumba ya Shemeji yako unakuja kujimwambafai nyumba yenyewe unapiga kwa kuiba unapiga dirisha unatuona mbwiga.-kilimo na ufugaji(ufugaji wa kuku wa kisasa)
-financial markets.