Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

Umeandika Kama unanifahamu. .. ukweli mtu hata wazazi wake hasa baba amenilaumu kwakumpenda binti ake bila akili mpaka nnkamwaribu
Pole mkuu , nilipitia hali kama yako so tunajuana ndgu yangu. Yawezekana alikua anakupenda ila kujishusha shusha kwako kumeshusha CV yako akakudharau. Na kama mkirudiana basi jaribu kubadilika weka kaukali kidogo kwenye mambo usiyopenda.

Wanawake ndo wapo hivyo wanataka mwanaume strong coz wanaamini we ndo mlinzi wake. Sasa akiona mtu unalega lega kama mlenda, kosa lake unaomba msamaha wewe. Apo ndgu yang unapoteza sifa hata kama anakupenda aje.
 
Mweeh wewe bado uko na wife wako ila unamshauri mwanaume mwenzako amuache wake..so selfish [emoji848][emoji21]
 
Kumbe unajua[emoji1787][emoji1787]
 
Reactions: BAK
Hata Biblia imeruhusu waachane.... Mwanamke mzinzi ni sumu...
Wasukuma tu ndo huwa wanawasamehe wakiwafumania
 
Muwe mnatoa msamaha ona sasa unavyohaha, na watoto chini ya miaka 7 ungemwachia mkeo lakini kwasababu ya kutaka kumkomoa hukuruhusu.
 
Hata Biblia imeruhusu waachane.... Mwanamke mzinzi ni sumu...
Wasukuma tu ndo huwa wanawasamehe wakiwafumania
Yes biblia inaruhusu lakini hailazimishi kuachana kwa sababu ya uzinzi. So ikitokea mtu kafumania anatakiwa kuchukua maamuzi binafsi lakini kwanza anatakiwa kuhesabu gharama zote za kuachana na ajue atadeal Nazo vipi kabla ya kuachana. Lakini pia uwe uamuzi binafsi, asishinikizwe na rafiki, mama, baba, au ndugu yoyote
 
For the sake of your Children,tafadhari samehe na fanya utaratibu wa kurudiana naye! Vinginevyo hutakuja kupata amani kabisa.
Achana na mambo ya Talaka hata kama ataomba yeye Talaka kataa!
 
Not every loss is a loss kama mtu anakusaliti na mna watoto under 7.. Huyo akishawishiwa na mchepuko wake akuue si dk 0 tu.

Bible pia inaruhusu mwanamke kuachwa kwa kosa moja tu la uasherati maana yake ni kwamba hilo kosa ni zaidi ya makosa ya kawaida
 
Muwe mnatoa msamaha ona sasa unavyohaha, na watoto chini ya miaka 7 ungemwachia mkeo lakini kwasababu ya kutaka kumkomoa hukuruhusu.
Wala si kumkomoa kaniachia mwenyewe
 
For the sake of your Children,tafadhari samehe na fanya utaratibu wa kurudiana naye! Vinginevyo hutakuja kupata amani kabisa.
Achana na mambo ya Talaka hata kama ataomba yeye Talaka kataa!
Ishu iko complected now japo I wish ingekua hivo
 
Yaani hii point ndio inaniumiza kichwa balaa
 
Utapotea wewe...hakupendi angekuzalia watoto?

Hao wanaokushauri hivo nao mahusiano yao rojorojo, tia maji shauri yako
Kwao lazima wote wawe wake? Anawezza kuwaleta kutoka mchepukoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…