The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Kwa hiyo ugomvi wote huu kisa maandazi na shati jipya?
Au sijaelewa mada?
Au sijaelewa mada?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni sahihi, lakini zipo familia nyingi haya yanafanyikani upumbavu kushuhudia ndgu zako Wananyanyaswa huku unaona
Unampaje mkeo amri kumtengea chakula mtu??? Tena sio mgeni ni mkaaji wa hapo???ukimaanisha?
funguka kwa faida ya sisi junior members
wewe takataka ya ticktock Ficha ushetani wako hapa.😂😂😂😂 kudaadeki si awachotee yeye
Washa data nmekutumia voice note bro 😹Kwa hiyo ugomvi wote huu kisa maandazi na shati jipya?
Au sijaelewa mada?
kila familia ina utaratibu wake acha kuleta ujuaji kwenye familia za watuUnampaje mkeo amri kumtengea chakula mtu??? Tena sio mgeni ni mkaaji wa hapo???
Wanaopaswa kutengewa chakula na maza hausi wanafahamika, wazazi, wageni, watoto na wagonjwa
Hahahaha..............Kuna Wanaume hawanywi, lakini wake zao wanakoma Kwa makandokando yaoMWANAUME USIETIA KILEO KINYWANI WAZAZI WAKO HAWAWEZI KUHESHIMIWA NA MKE WAKO COZ UNAKUWA UPO UPO LAKINI ANAYETIA KILEO KILA SIKU SIMU ZINAPIGWA KWA WAZAZI JAMANI LEO AMEFANYA HIV KESHO VILE halafu wazazi wakija mrume anaacha siku kazaa mke anaombea wabaki wazazi Wakiondoka unatoa lock 🔐
Umetushirikisha taratibu zako. Tupo hapa kushangaakila familia ina utaratibu wake acha kuleta ujuaji kwenye familia za watu
zinaa imekutawala ndio maana unawaza ujinga wakati woteBraza ukitomb..ewa na hivyo vianko vyako hatutoi ushauri hadi june 😹
ticktock ladiesUmetushirikisha taratibu zako. Tupo hapa kushangaa
Wachaa...umeguswa pia. Iko hivi, ukitaka familia zikae sawa bila kujali ndugu wa kike au kiume, hasa wageni wenyeji, ni kuwaingiza kwenye mfumo wa mazingira yenu. Na hiyo heshima ihubiriwe kwa pande zote wenyeji waheshimu wageni na vivyo hivyo kwa wageni. Heshima pande zote inapunguza makando kando mengi ikiwemo hii ya roho ngumu ya kukwazika na mtu kununuliwa shati.Huyo mwanamke mfuga kucha nilitaka kumjibu kama hivi. Afadhali umenisaidia mkuu.
Shemeji ni Shemeji hata kama ni mdogo heshima lazima iwepo. Yule ni mume wako pia.Heshima sio lazima magoti na kuchota maji. Shemeji wanalingana umri na watoto waliopo ndani ya nyumba ambao kazi wanapangiwa kujaza maji ndani. Kwa malezi sawa ya wote hizo ni kazi za kawaida ndani ya nyumba yao.
Angalizo, huhitaji lugha kali ku drive a point home
Duuuuh....hii ndo Manhood sasaWanawake ni wabinafsi sana, nilipiga marufuku ndugu zake kwangu baada ya wakwangu kufanyiwa figisu na akanuna akaondoka sikupiga simu wala kumtafuata. Karudi na Baba na Mama yake kuomba radhi, nimewarudisha natafakari mpango wa kuishi na wanangu tu.
kwamba anko ameshakaa muda mrefu sio mgeni tena😅Unampaje mkeo amri kumtengea chakula mtu??? Tena sio mgeni ni mkaaji wa hapo???
Wanaopaswa kutengewa chakula na maza hausi wanafahamika, wazazi, wageni, watoto na wagonjwa
Tanzania Kuna shida kubwa Sana ya uelewa...Dogo kamaliza form 4. Unataka mkeo amtengee chai kwa heshima na adabu. Ikibidi apige na goti....hivi unamchukulije mkeo?
Au unataka huyo dogo amchukulieje mkeo?
Mwambie amfulie na boxersticktock ladies
Asubiri muda ataanza kumpelekea moto mke wako! Mwambie dogo akapange au mpangishie chumba! Hapo ni home kwa wife sio dogo! Msala unauanzisha mwenyewe!Yaani unamwambia mkeo amuandalie huyo dogo chakula na isijirudie tena? Pole yake
We jamaa mpumbafu sana, hata kama huyo mke hana kazi ila mthamini. Mtu kamaliza form four atengewe chai ? Na sio kua kaja kusalimia amekuja kukaa kabisa?Dogo kamaliza form four nikaona aje apige kazi ya salon, picha nimeona dalili sio nzuri,
Juzi nimemkuta dogo anakula maandazi kashika mkononi, aliambiwa achukue tu katika deli, badala ya amuandalie wakati siku za mwanzo alikuwa anamuandalia. Nikamwambia hakikisha unamwandalia Chakula isijirudie tena.
Majuzi nimemnunulia dogo shati nikasikia anaongea "eeh nguo mnajinunulia tu wenyewe" . nikamwambia we sijakununulia majuzi tu. jibu lake "hata kama"
Visirani visivyokoma utakuta siku mbili kafunga uso.
Hana akili aisee, dogo anatuingizia hela kila siku hesabu kutoka salon anashindwa kujua hilo. ujinga tu hawa watu.