Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
- Thread starter
-
- #81
Njoo uchukue na nafasi yake kabisaHuyu mwanamke ni wa ajabu sana mm mwenyewe ni mchepuko wangu na kanambia hiyo hiyo hela na nimelipa. Kuanzia leo nakuachia mkuu asituchanganye!!
Labda ana kinywamgongo cha mzee wake mkuu...hakuna mwanaume anaechezea hela kifala hivyo kwa mwanamke...sema ndo ivo tukisema wanatuvaa kwamba ni umaskin tu unatusumbuaHichi ndicho anachokitafuta mtoa mada. Unampangia malaya nyumba kodi ya laki 4 kwa mwezi like fuckinng serious???
Naona bichwa lako limekuwa na moto, umechanganywa na comment za wajuba ushaanza povu, ndo maana jamaa kasema ww wa kuja kweli!![emoji23][emoji23]Njoo uchukue na nafasi yake kabisa
Final ni uzeeni , unaanza kulia kulia watoto wanampendelea mama yao ! Unasahau kuwa muda wako na wanao uliutumia kwa michepuko![emoji12]Michepuko lazima iliwe
Wewe tulia tuli tunza watoto tuu
Kizuri kula na wenzako, we unalipa kodi wenzako wanakula bureNilikua nikipata shida sana na moja ya mchepuko wangu uliokua ukikaa sana mbali. Chukulia mfano tegeta na mbagala.
Ilinipa wakati mgumu sana kwa maana Kuna muda nachelewa kurudi home alafu nakosa sababu za msingi.
Option iliyobakia ilikua ni kumhamishia viunga vya karibu, sio karibu kihivyo. Chukulia mfano Knyama na sinza.
Alinieleza hana pesa ya Kodi Ila amepanta sehemu nzuri na iko private. Kodi laki 4, na mwenyewe anataka mwaka.
Bila hiyana nikaazama mfukoni na nikalipa ili niendelee kula utamu. Ni utamu kweli, huwa sinaga kabisa mazoea na pisi mbovu.
Bila kugharamia hawa Watoto wazuri utaishia kula kwa macho tu. Vizuri gharama.
Baada ya kumhamishia karibu, Sasa hivi mapenzi yameongezeka sana
Usimwachie pangianeni zamu, kizuri kula na mwenzio.Huyu mwanamke ni wa ajabu sana mm mwenyewe ni mchepuko wangu na kanambia hiyo hiyo hela na nimelipa. Kuanzia leo nakuachia mkuu asituchanganye!!
Hela za ukubwani ndio anaanza kula papuchi hajazizoeaunajiona mjanja kumbe .....................
Kanijibu nitulie nyumbani nilee watoto [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kalaana hakata mwacha kamweHii laana unayotafuta kwa mkeo na watoto utakuja kupigwa tukio na huyo malaya wala hautokaa uamini.
Hatari Sana .hajawahi mpatia mke wake hata milioni moja akafanye shopping kwa kile anachojisikia.Utakuta familia yako inajua hauna pesa dhambi gharama sana
Wanagawana majukumu jamani na halikwepekiKuna mwingne atamnunulia gari hapo ndio utajua hujui
Kwahiyo kwa mchepuko utaenda kila siku? Si utamsahau na mkeo? Nyie ndiyo wake zenu mnawaacha na ugwadu wanaishia kwa bodaboda kusuua roho zao.200 kwa siku kwa mwezi ni laki 6, hivyo ingenigharimu zaidi ya hapo
Sasa unataka ushauri au tukupigie makofi, kwani haya si ni maamuzi yako mwenyewe ya kifala? Yaani mtu unapoteza karibia milion 5 kugharamia mchepuko?Nilikua nikipata shida sana na moja ya mchepuko wangu uliokua ukikaa sana mbali. Chukulia mfano tegeta na mbagala.
Ilinipa wakati mgumu sana kwa maana Kuna muda nachelewa kurudi home alafu nakosa sababu za msingi.
Option iliyobakia ilikua ni kumhamishia viunga vya karibu, sio karibu kihivyo. Chukulia mfano Knyama na sinza.
Alinieleza hana pesa ya Kodi Ila amepanta sehemu nzuri na iko private. Kodi laki 4, na mwenyewe anataka mwaka.
Bila hiyana nikaazama mfukoni na nikalipa ili niendelee kula utamu. Ni utamu kweli, huwa sinaga kabisa mazoea na pisi mbovu.
Bila kugharamia hawa Watoto wazuri utaishia kula kwa macho tu. Vizuri gharama.
Baada ya kumhamishia karibu, Sasa hivi mapenzi yameongezeka sana
Huyu tunamjengea mochwariUnataka sanamu lako lijengwe wapi?
[emoji12]Huyu tunamjengea mochwari
Hongera sana mkuu[emoji846]Mm sijawai kumlipia manzi chumba Wala kageto tu na Bado nawal pisi Kali tu na mm
Nyie walipieni s amlali Mara kwa Mara mle tutawasadia kuwalinda pindi mrudipo kwa wake zenu ss tuatitwa kwenda kupeleka fire
Note
Wakat fln mwak 2020 nilikuwa nashare demu na mtu mmoja kigog wa serekalini mpka alivyokuja tumbuliwa ila Bado Yuko vzr ingawa pia demu Niko nae mbalii kwa sas ila najipigia popote
Nilisha mla had kweny hgari yake piga Sana tu
Kaaa chini tulia tuliFinal ni uzeeni , unaanza kulia kulia watoto wanampendelea mama yao ! Unasahau kuwa muda wako na wanao uliutumia kwa michepuko![emoji12]