Nimemlipia mchepuko Kodi ya nyumba Mil 4.8 kwa mwaka, Mapenzi yameongezeka Mara mbili

Wengine hivyo vitu vyao vimechanjiwa siyo bure
Hii kitu niliwai kuisikia kwa dem mmoja hiv yeye ukitoka nae ukajiloga kwenda kavu kavu (kama kakuelewa ni lazma akulazimishe muende kavu kwa njia yeyote ile) hapo umekwisha utafanya chochote atakacho kuambia. Et aliendaga kwa mtaalam akachanjwa kunako papuchi ili awateke watu
 
utakuwa unalaana ya ukoo trace back to the clan history
 
Ha
 
Hawanaga maana hawa unalipa kodi wewe ila kuna mhuni pembeni anakula
 
ila mwamba nakukumbusha tu duniani hakuna bingwa wa kuhonga
 
Mleta mada mchepuko wako una akili za Wema Sepetu...Million tano kasoro ya Kuhongwa nimpe mwenye nyumba nimerogwa?hapo nimeshamiliki kipande changu Cha ardhi square mita kadhaa poa kabisaa,,,,
 
naomba nikununulie shamba tukadinyanye huko shamba nipata ushuhuda wako
 
What a math! Kuna aliye tayari tupractise hii hesabu?
 
Duh!hii picha kwa hisani ya shosti take anae myuda eskariot
 
mshamba wakuja ngoja upigiwe na wahuni

Hivi ulimwengu wa leo kuna mtu anafuga mchepuko huku akiamini kwamba yupo pekee yake?? Seriously?
Hata mke/mme ndani ya familia ni ngumu kuwa pekee yako..wanaliwa na kula sana......sembuse mchepuko?
Tuwe serious kidogo basi wajameni au mnasemaje??? (in Uhuru Kenyatta's voice)..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…