Nimempenda sana. Natamani nimuoe lakini ana mtoto mmoja na mimi sina

Ku-move on kupo, hivyo oa lakini issue ya kuwasiliana na Baba mtoto ni kawaida ila haijalishi kutakuwa na mishe za kupasha kiporo

Hata single fathers wanaelewa kuna muda mnawasiliana na mama mtoto sio kwa sababu mnataka mrudiane la hasha bali tu kuwa responsible father na kuzuia mtoto asiwe brainwashed kuwa Baba yako alikuwa hakujali ( hili single mothers huwa wanaitumia sana for no reason)

Lakini deep down hata upewe nini hamuwezi kurudiana kamwe!!
 
Kama ana mtoto wa kike wewe Oa tu hawanaga matatizo. Mtoto wa kike ubini hubadilika baadae akiolewa kuwa wa mume wake. Kama mtoto wa kiume ogopa vinakujaga kuvimba hivyo baadae. Watoto wa kiume huwa hawapendi Baba wa kambo. Baadae itakuwa ngumu kuku heshimu🤔
 
Kuna mwenzako kaoa single maza jirani yangu hapa na hayupo kaenda mkoani kikazi leo inaenda siku ya 4 kama sikosei jamaa aliemzalisha huyo single maza anakuja hapo home fresh kwa baby mama wake ikifika usiku kama saa 6 ndo anaondoka siku nyingine analala fresh tu.

Sijakwambia usioe huyo single maza ila kama unamuoa oa at your own risk
Kila lakher
 
Jamani Sasa huyo mtoto ndoanakuzuia kumuona au huyo mtoto anajuwa kikwazo kwa mapenzi yenu!!??
Acha hizo bro kuwa na mtoto sio dhambi hata wewe unaweza kuwa na mtoto Leo ukaowa alafu ukafa na wew kwaiyo mwanao mwanaume mwenzako amnyanyapae! Uowe pis Kali hiyo
 
Huyu jamaa haudhuriagi au hajawahi kuhudhuria vikao vya wanaume! Tulishapitisha maamuzi kuwa "single mother" hafai kuolewa! Labda kwa mazingira fulani ambapo huyo aliyemzalisha alishafariki na akuonyeshe kaburi au cheti cha kifo! Kwa mizania ya vigezo vya mke bora, single mother alipata "0". Hudhuria vikao mwamba usiturudishe nyuma katika mada zilizokwishatolewa maamuzi
 
perfect
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…