Nimempikia shemeji yenu njegere ngumu haziivi, msaada tafadhali

🀣🀣🀣🀣🀣 Boaz Hana mfanowe. Boaz yule mke wake kalikua ka toto Cha mujibu, kanapata tabu sana na uhaya wake. Ila umenichekesha sana
Aha mke wake anavumilia

Sasa kipindi nipo omes pale alikuwa anakuja anatoa maelekezo mpaka unachoka nikasem huyu dawa yake kumpuuza kuna siku kapiga simu anafoka nikaweka simu pembeni sijui alikata saa ngapi
 
Mwachiluwi atakua ashamaliza.
 
Aha mke wake anavumilia

Sasa kipindi nipo omes pale alikuwa anakuja anatoa maelekezo mpaka unachoka nikasem huyu dawa yake kumpuuza kuna siku kapiga simu anafoka nikaweka simu pembeni sijui alikata saa ngapi
mtu kama huyo akifoka unamtazama tu aongee hadi amalize mwenyewe.
Sasa kichekesho ukikaa kimya anakwambia una kiburi, ukijaribu kuongea ujieleze anakunyamazisha anasema unam-disrespect
 
Aha mke wake anavumilia

Sasa kipindi nipo omes pale alikuwa anakuja anatoa maelekezo mpaka unachoka nikasem huyu dawa yake kumpuuza kuna siku kapiga simu anafoka nikaweka simu pembeni sijui alikata saa ngapi
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Ulimkomesha sana. Lakini nikwambie kitu hakujali mwenzako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…