Elsa Marie
JF-Expert Member
- Jul 7, 2017
- 2,385
- 5,817
- Thread starter
-
- #141
Nadhani tu sina mzuka nazo, nimekuja kuzijua ukubwani halafu nilizila sikupendezwa nazo..nitazijaribu tenaMkuu zimejaa sokoni kwenye mameza ya nafaka mbona?
Ila kwa macho hazitofautiani na dengu, rangi yake ni ile ile zikiwa zimekobolewa.
Asante nitafanya hivyoSiku nyingine ukiona haziivi weka magadi zitalainika
Binafsi sipendi sukari kwenye maharagwe nilimtembelea rafiki nukakuta kapika maharagwe kaweka sukari ile kutia mdomon tu nikamuuliza maharagwe umeweka sukari akasema ndio sikuendelea kula
Sukari itumike vizuri mboga weka chumvi chumvi nikiungo tosha
Usiweke kweli ukiweka zinaharibikaHii mbinu mpya sikufahamu. Thanks.
Ok. Ukiziwekea tui la karanga huwa naona kama tamu sana kwa wali.Nadhani tu sina mzuka nazo, nimekuja kuzijua ukubwani halafu nilizila sikupendezwa nazo..nitazijaribu tena
Sijawahi kutana na bagia za njegere😃. Napenda bagiaOk. Ukiziwekea tui la karanga huwa naona kama tamu sana kwa wali.
Na matumizi yake mengine, unga wake hutumika kutengenezea bagia.
Dengu hizoOk. Ukiziwekea tui la karanga huwa naona kama tamu sana kwa wali.
Na matumizi yake mengine, unga wake hutumika kutengenezea bagia.
Nimeshangaa kusikia bagia za njegereDengu hizo
Sina pressure cooker😪Ila pressure cooker ndio kiboko ya kuchemsha nafaka na nyama
Mie naserereka tu nowadays sina mawazo.
Ila mbaazi kavu nimezivulia kofia
Nunua njegere zinazouzwa kwa kupima na kikombe, lakini njegere laini kwenye kuiva ni dakika 40 tuMaharage magumu zaidi
Hayakuwepo. Kiufupi sikuwa na mboga nyingine ya harakaAisee😂😂,pole sana . Ungepika maini tu😊.
Badia ni kunde na denguNimeshangaa kusikia bagia za njegere
Mkuu saazingine ulishakula sana bila wewe kujua.Sijawahi kutana na bagia za njegere😃. Napenda bagia
Ndo hizo nimenunuaNunua njegere zinazouzwa kwa kupima na kikombe, lakini njegere laini kwenye kuiva ni dakika 40 tu
Pressure kiboko ata utumbo mgumu kuiva lakini kwa Pressure cooker umetulia, yani ata magongoro yanaivaIla pressure cooker ndio kiboko ya kuchemsha nafaka na nyama
Mie naserereka tu nowadays sina mawazo.
Ila mbaazi kavu nimezivulia kofia
Za kunde nzuri sana ila sijui kuzipikaBadia ni kunde na dengu
Mie za kunde ndio my favourite
Basi siku zote nafikiri dengu pekee ndiyo hutengenezwa bagia, kumbe hata njegere.Ok. Ukiziwekea tui la karanga huwa naona kama tamu sana kwa wali.
Na matumizi yake mengine, unga wake hutumika kutengenezea bagia.