Nimempinga Godbless Lema ila sasa Natubu

Lema akiwa Star Tv na Alloyce Nyanda nimemwelewa sana.
Lema ameongea point nzuri, nyingi tu,ukiweka mambo ya ccm na Chadema pembeni,unaona kabisa ana hoja nzuri, tatizo sisi watanzania kila sehemu tunataka kuleta siasa, tujifunze kujibu hoja kwa hoja sio kukasirika tukiambiwa ukweli.
 
Tupe hoja nzuri moja tu ya Lema
 
Lema ameongea point nzuri, nyingi tu,ukiweka mambo ya ccm na Chadema pembeni,unaona kabisa ana hoja nzuri, tatizo sisi watanzania kila sehemu tunataka kuleta siasa, tujifunze kujibu hoja kwa hoja sio kukasirika tukiambiwa ukweli.
Lema ni mtu amepata Exposure ameona jinsi wenzetu wanavyokabiriana na umaskini na tatizo la ajira. Sasa ni miongoni mwa Watz ambao hawajaamua kukacha na kusema watajijua wenyewe kama walivuo diaspora wengine.

Kwa tanzania mtu akitoka kimaisha huwa hataki hata kufundisha wenzake kwa sababu anataka aabudiwe. Lema amekuja na mawazo mapya tumsikilize kama yanayekelezeka tuyachukue.
 
We sio tu mshamba wa mali na umaskini wa kipato inaonekana pia ni maskini wa Fikra.
Kaa chini msikilize Lema achana na vihabari vya kuokoteza
Mangi nadhani una tatizo lifuatalo;
“Deep rooted illiteracy” ndio maana unaweza ona kilaza Lema anaonge kitu cha maana .You are simply suffering from mental distotion.
 
Kazi kweli kweli.
 
Wewe mwenyewe ndiye Lema.
 
Lema ametoka kimaisha? Unadhania angekuwa ametoka kimaisha angeendelea kupigwa jua ili aweze tu kupata kipato kupitia siasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…