Nimemsamehe kwa dhati Rafiki yangu licha ya kutembea na mchumba wangu.

Kiukweli hata kama ningekua mm lazma ningehakikisha jamaa anajua....haina maana ya kulipiza kisasi alafu adui yako asijui kama umelipiza

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nipo napiga mechi zangu za mwisho mwisho kisha namwachia jamaa zigo lake as I said hapo juu Toto linahamasisha kweli kweli kila nikitaka kulikimbia nikikumbuka majambozi yake na na lile joto lake nakuwa mpole najisemea kimoyo moyo ngoja nilifaidi faidi kwanza
 
Hivi nani mwingine akisoma Uzi huku anakimbilia kuangalia ID ya mtu na join date ya huyo member ili aunganishe nitukio la kweli au chai?
Mkuu basi nimecheka tuu ulivyomsamehe baada ya kisasi.[emoji23]

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie hata comment au pm huwa inanifanya nipitie profile ya mtu kwanza[emoji85][emoji85][emoji85]
 
Na huu ndio ukweli.
 
Kwakua unashabikia Arsenal nakuunga mkono rasmi.
 
Kwakua unashabikia Arsenal nakuunga mkono rasmi.
Si unajua sisi mashabaki wa arsenal tulivo wavumilivu nimemvumilia kwa mda wa miaka 3 jamaa akajua nimeshapotezea kumbe namlia timing tu, kule EPL kwa malikia tuteseke hata kwenye maswala haya pia dawa ya moto ni moto tu
 
Si unajua sisi mashabaki wa arsenal tulivo wavumilivu nimemvumilia kwa mda wa miaka 3 jamaa akajua nimeshapotezea kumbe namlia timing tu, kule EPL kwa malikia tuteseke hata kwenye maswala haya pia dawa ya moto ni moto tu
Kama kawaida na akizingua huyo jamaa na yeye mtokee mmege vilevile.
 
Ufala + Ufala + Ufala
 
Nimeshasema apo juu Mkuu tokea siku ile bi Dada aamue nitunuku, nikaamua kumsamehe tokea moyoni yule jamaa.ndomana hata thread inajieleza kabisa kuhusu msamaha wangu kwa jamaa.
So point ni kwamba umetunukiwa hujalipiza?
 
2pac anakwambia baada ya papuchi kinacho fata kwa utamu ni kisasi

hongera mkuu kwa kupata top 2 ya vitamu duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…