Kimalingano
JF-Expert Member
- Mar 27, 2023
- 1,366
- 1,770
Akiongea na Watanzania walioko Diaspora kupitia mtandao wa Sauti ya Watanzania au Clubhouse,Dk Malisa alisema kuwa kama mambo anayodai mahakamani hayatakubaliwa,Viongozi wa Dini zote watawaongoza watanzania kuandamana kudai maboresho ya sheria za uchaguzi.
Amesema amekuwa akiwasiliana na viongozi wa madhehebu mbalimbali likiwemo Kanisa Katoliki, ambao wote wanakubaliana kuwa lazima kufanyike jambo kwa kuwa hali inayoendelea siyo nzuri.
Kama kweli maandamano hayo yatafanyika itakuwa ni mara ya kwanza tangu kuumbwa kwa Tanzania viongozi wa Dini,hususan wakatoliki,kuandamana.