Nimemsikia Dkt. Malisa akisema kama hakutakuwa na Mabadiliko anayodai Viongozi wa Dini zote wataongoza maandamano

Akiongea na Watanzania walioko Diaspora kupitia mtandao wa Sauti ya Watanzania au Clubhouse,Dk Malisa alisema kuwa kama mambo anayodai mahakamani hayatakubaliwa,Viongozi wa Dini zote watawaongoza watanzania kuandamana kudai maboresho ya sheria za uchaguzi.

Amesema amekuwa akiwasiliana na viongozi wa madhehebu mbalimbali likiwemo Kanisa Katoliki, ambao wote wanakubaliana kuwa lazima kufanyike jambo kwa kuwa hali inayoendelea siyo nzuri.

Kama kweli maandamano hayo yatafanyika itakuwa ni mara ya kwanza tangu kuumbwa kwa Tanzania viongozi wa Dini,hususan wakatoliki,kuandamana.
Hilo lizee limechanganyikiwa, nendeni mkamtibu badala ya kumtumia kwa maslahi yenu
 
Kanisa Katoliki la Tanzania inabidi lijitenge na uongozi wa Vatican kwasasa,maana Kanisa Katoliki la Tanzania limegeuka kua tawi na chocho la wanasiasa na harakati.
Tangia zamani kila wakipata upenyo, ila kwa Tanzania hawawezi kupata mwanya hao wanaharamu. Kihistoria hilo halikuwa kanisa, ilikuwa dola kwa maana hiyo hawapendi kabisa watawaliwe. Wako so arrogant, wanapenda makuu waheshimiwe, waogopwe na dola yyte iliyoko madarakani. Ni wa kupuuzwa hawana wanaloweza kufanya, hawamjui Mungu wa kweli wana Mungu wao. Ht novena wanayofunga ni geresha tu ila lengo lao ni ku-take attention ya watu
 
Ni kweli itapendeza Viongozi wa dini wafanye jambo,ili CCM wapunguze kibri..kila mtu mwenye akili timamu anakiri kwamba mfumo wetu wa UCHAGUZI unachangamoto,kupitia chaguzi za 2019,2020 na 2024.. sasa kwanini CCM hawataki?.. kama ni kufaidika na huu mfumo wameshafaidika sana..INATOSHA
Ushamsikia Kitima akiongea tena 🤣🤣🤣 unacheza na dola wewe
 
Akiongea na Watanzania walioko Diaspora kupitia mtandao wa Sauti ya Watanzania au Clubhouse,Dk Malisa alisema kuwa kama mambo anayodai mahakamani hayatakubaliwa,Viongozi wa Dini zote watawaongoza watanzania kuandamana kudai maboresho ya sheria za uchaguzi.

Amesema amekuwa akiwasiliana na viongozi wa madhehebu mbalimbali likiwemo Kanisa Katoliki, ambao wote wanakubaliana kuwa lazima kufanyike jambo kwa kuwa hali inayoendelea siyo nzuri.

Kama kweli maandamano hayo yatafanyika itakuwa ni mara ya kwanza tangu kuumbwa kwa Tanzania viongozi wa Dini,hususan wakatoliki,kuandamana.
Acha kuleta taharuki humu kwa maslahi yako binafsi ya kukusisha imani za watu.

Weka ushahidi na sisi tusikie hicho alichosema.
 
Kanisa Katoliki la Tanzania inabidi lijitenge na uongozi wa Vatican kwasasa,maana Kanisa Katoliki la Tanzania limegeuka kua tawi na chocho la wanasiasa na harakati.
Kwani hujui Kanisa Katoliki ndilo lililosaidia kuua ukomunisti kipindi cha Papa John Paul II.
Nawashangaa akina Samia kupambana na Kanisa Katoliki.Simfahamu mtu aliyewahi kupambana na Kanisa hilo akashinda.
Nadhani ni kutokulijua vinzuri kanisa hilo.
 
Tangia zamani kila wakipata upenyo, ila kwa Tanzania hawawezi kupata mwanya hao wanaharamu. Kihistoria hilo halikuwa kanisa, ilikuwa dola kwa maana hiyo hawapendi kabisa watawaliwe. Wako so arrogant, wanapenda makuu waheshimiwe, waogopwe na dola yyte iliyoko madarakani. Ni wa kupuuzwa hawana wanaloweza kufanya, hawamjui Mungu wa kweli wana Mungu wao. Ht novena wanayofunga ni geresha tu ila lengo lao ni ku-take attention ya watu
Huwajui Kanisa Katoliki,Mkuu.
Ni taasisi makini,yenye watu makini na isiyoshindwa kirahisi.Ninachowalaumu hao jamaa huwa wanachukua muda mrefu mno kuamua jambo.Lakini wakiamua huwa wanalisimamia kwa umakini wa hali ya juu na kwa msimamo imara kabisa.
 
Kanisa Katoliki la Tanzania inabidi lijitenge na uongozi wa Vatican kwasasa,maana Kanisa Katoliki la Tanzania limegeuka kua tawi na chocho la wanasiasa na harakati.
Kanisa Katoliki wameacha kuhubiri habari njema, wana sapoti wanaharakati ambao ni ant-government, TAL n.k, kwa sababu kanisa RC ni chombo cha kibinadamu zaidi na si ki-Kumungu,.
RC duniani imeleta mateso zaidi kwa wanakondoo kuliko wema
Mauaji ya kimbari Rwanda RC walikuwa ni wadau wakubwa wa kuendesha mauaji ya wa TUTSI hata waliokuwa wakatoliki
Marehemu Papa aliwahi kuomba msamaha kwa RC kushiriki mauaji ya kimbari na visa vya ma kasisi kulawiti watoto walio ktk uangalizi wa kanisa maeneo mbalimbali duniani hasa ulaya na amerika.
 
Hapana.Tutakuwa tumetekeleza tendo la kitume.
This is a false dichotomy fallacy that is also a logical non sequitur fallacy.

Wewe kutekeleza tendo lako la kitume hakutafanya watu waone umelichukua suala la kitaifa ukalifanya la kidini.

Wengine hatutaki habari za mitume.
 
Akiongea na Watanzania walioko Diaspora kupitia mtandao wa Sauti ya Watanzania au Clubhouse,Dk Malisa alisema kuwa kama mambo anayodai mahakamani hayatakubaliwa,Viongozi wa Dini zote watawaongoza watanzania kuandamana kudai maboresho ya sheria za uchaguzi.

Amesema amekuwa akiwasiliana na viongozi wa madhehebu mbalimbali likiwemo Kanisa Katoliki, ambao wote wanakubaliana kuwa lazima kufanyike jambo kwa kuwa hali inayoendelea siyo nzuri.

Kama kweli maandamano hayo yatafanyika itakuwa ni mara ya kwanza tangu kuumbwa kwa Tanzania viongozi wa Dini,hususan wakatoliki,kuandamana.
Watakutana na Mashekh barabarani. Hawa watu wa dini wafanya mambo yao siasa sio sehemu yao hii sio Congo.
 
Hiyo itaonyesha level ya chuki yao kwa Mama Samia, ni wanamchukia balaa, yani ile mbaya.

Waandamane tuone, kama itasaidia. Kama inawauma sana Mama kurudi 2025 wanywe maji wapoze koo, there is nothing they can do.

Kura za zetu zinatosha kumuingiza mama Ikulu

Maumivu ni makali lakini wanye panadol
Halafu unajuwa wengi wao hawa huwa wanaambiwa wamtokea Rwanda huko kama hawajaulizwa makaburi ya mababu yapo wapi.
 
Akiongea na Watanzania walioko Diaspora kupitia mtandao wa Sauti ya Watanzania au Clubhouse,Dk Malisa alisema kuwa kama mambo anayodai mahakamani hayatakubaliwa,Viongozi wa Dini zote watawaongoza watanzania kuandamana kudai maboresho ya sheria za uchaguzi.

Amesema amekuwa akiwasiliana na viongozi wa madhehebu mbalimbali likiwemo Kanisa Katoliki, ambao wote wanakubaliana kuwa lazima kufanyike jambo kwa kuwa hali inayoendelea siyo nzuri.

Kama kweli maandamano hayo yatafanyika itakuwa ni mara ya kwanza tangu kuumbwa kwa Tanzania viongozi wa Dini,hususan wakatoliki,kuandamana.
Hata kama sio sasa but naona revolution inakuja Tz!!
 
WA kuisaidia Tanganyika kwa sasa ni watu wa Imani, watu wa kiroho. Bunge lilishindwa, Mahakama haziwezi (zimeshindwa). Kazi imebaki kwetu sisi watumishi wa Mungu kusimama kwenye nafasi na zamu zetu.

Padri Ngowi naye nimemsikia akiongea ya kuisaidia Tanganyika. Tusikubali kuiachia nchi wahuni.

Baba Mungu usituache, tunaomba msaada wako, Amina.

#kataa wahuni#
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini kama hayo maandamano yatakuwepo!
Siyo nchi hii Mama Tanzania!
 
Back
Top Bottom