Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Amejituma.....Haha.Anaweza kuwa katumwa na nani,Mkuu?
Huyu ni Mwanaccm mtiifu. Mawazo yake ayafikishe kwenye Chama atasikilizwa.
Sio busara kusema kila kitu hadharani. Chama kina platforms za kusikiliza malalamiko ya kila mwana chama