Nimemsikia Dkt. Malisa akisema kama hakutakuwa na Mabadiliko anayodai Viongozi wa Dini zote wataongoza maandamano

Akiongea na Watanzania walioko Diaspora kupitia mtandao wa Sauti ya Watanzania au Clubhouse,Dk Malisa alisema kuwa kama mambo anayodai mahakamani hayatakubaliwa,Viongozi wa Dini zote watawaongoza watanzania kuandamana kudai maboresho ya sheria za uchaguzi.

Amesema amekuwa akiwasiliana na viongozi wa madhehebu mbalimbali likiwemo Kanisa Katoliki, ambao wote wanakubaliana kuwa lazima kufanyike jambo kwa kuwa hali inayoendelea siyo nzuri.

Kama kweli maandamano hayo yatafanyika itakuwa ni mara ya kwanza tangu kuumbwa kwa Tanzania viongozi wa Dini,hususan wakatoliki,kuandamana.
20250729_010133.jpg
 
Kanisa Katoliki la Tanzania inabidi lijitenge na uongozi wa Vatican kwasasa,maana Kanisa Katoliki la Tanzania limegeuka kua tawi na chocho la wanasiasa na harakati.
Mpaka pale jeshi la polisi na mahakama litakapojite na CCM
 
Upungufu WA walimu mashuleni,mliandamana?

Mito inatitirisha maji baharini,badala ya kujenga mabwawa ya umwagiliaji, utadhani bahari ndo inahitaji maji,mliandamana?

Kwa Nini uchaguzi muandamane?
Ni kwa sababu uchaguzi ni Kila kitu katika taifa lolote.Uchaguzi ndiyo unawezesha kupata viongozi wanaoamua wananchi waishi namna gani
 
Akiongea na Watanzania walioko Diaspora kupitia mtandao wa Sauti ya Watanzania au Clubhouse,Dk Malisa alisema kuwa kama mambo anayodai mahakamani hayatakubaliwa,Viongozi wa Dini zote watawaongoza watanzania kuandamana kudai maboresho ya sheria za uchaguzi.

Amesema amekuwa akiwasiliana na viongozi wa madhehebu mbalimbali likiwemo Kanisa Katoliki, ambao wote wanakubaliana kuwa lazima kufanyike jambo kwa kuwa hali inayoendelea siyo nzuri.

Kama kweli maandamano hayo yatafanyika itakuwa ni mara ya kwanza tangu kuumbwa kwa Tanzania viongozi wa Dini,hususan wakatoliki,kuandamana.
Kwahiyo Malisa nae anaingia katika kesi ya wachochezi.Lakini kumbukeni watanzania hatupendi.kuandamana,hatuna.uchumi imara.sisi ni wachumia tumbo.
 
Akiongea na Watanzania walioko Diaspora kupitia mtandao wa Sauti ya Watanzania au Clubhouse,Dk Malisa alisema kuwa kama mambo anayodai mahakamani hayatakubaliwa,Viongozi wa Dini zote watawaongoza watanzania kuandamana kudai maboresho ya sheria za uchaguzi.

Amesema amekuwa akiwasiliana na viongozi wa madhehebu mbalimbali likiwemo Kanisa Katoliki, ambao wote wanakubaliana kuwa lazima kufanyike jambo kwa kuwa hali inayoendelea siyo nzuri.

Kama kweli maandamano hayo yatafanyika itakuwa ni mara ya kwanza tangu kuumbwa kwa Tanzania viongozi wa Dini,hususan wakatoliki,kuandamana.
TEC inatumika vibaya na Fr Kitima.
Mustakabali wa nchi ndiyo ataujuwa Padri Kitima? Mbona ya kwake yanamshinda!!

Aamue moja avue mavazi ya altareni kama Dr Slaa aje kwenye mapambano. Asitumie madhabahu kutetea itikadi yake ya CHADEMA.

Nami pia ni MKATOLIKI kindakindaki na natoa zaka na sadaka kwa muujibu wa amri za kanisa. Nasali Parokia ya Msewe

Lakini sikubaliani na msimamo wa TEC kwenye mambo ya Serikali, ni Fr Kitima ndiyo anawapoteza
 
Huyo kichwa pumbu hajawahi kula kibano cha polisi
Ajichanganye tu aingie rodini ndio akili itakaa sawa
Hao mapadri anaosema hakuna hata mmoja atatia pua barabarani na kanzu
 
Back
Top Bottom