Nimemsikia Dkt. Malisa akisema kama hakutakuwa na Mabadiliko anayodai Viongozi wa Dini zote wataongoza maandamano

Akiongea na Watanzania walioko Diaspora kupitia mtandao wa Sauti ya Watanzania au Clubhouse,Dk Malisa alisema kuwa kama mambo anayodai mahakamani hayatakubaliwa,Viongozi wa Dini zote watawaongoza watanzania kuandamana kudai maboresho ya sheria za uchaguzi.

Amesema amekuwa akiwasiliana na viongozi wa madhehebu mbalimbali likiwemo Kanisa Katoliki, ambao wote wanakubaliana kuwa lazima kufanyike jambo kwa kuwa hali inayoendelea siyo nzuri.

Kama kweli maandamano hayo yatafanyika itakuwa ni mara ya kwanza tangu kuumbwa kwa Tanzania viongozi wa Dini,hususan wakatoliki,kuandamana.

kweli, kweli tupu hii hapa:
 
Attachments

Kwa kuwa wewe hukufanikiwa kumsikia akiongea baada ya kutoka matibabu ya majeruhi,haimaanishi hajaongea.
Aliongea Tena kwa kina alipohojiwa na Jambo Tv.
Ushamsikia Kitima akiongea tena 🤣🤣🤣 unacheza na dola wewe
huku
 
Halafu unajuwa wengi wao hawa huwa wanaambiwa wamtokea Rwanda huko kama hawajaulizwa makaburi ya mababu yapo wapi.
Mnajifariji bure katoliki wakitokea wakasema wasipige kura waumini wao unajua makanisa mengi yote ya mitume yametokana na ukatoliki lakini sio vyema ili jambo kua la kidini ila fuatilia vizuri katoliki na mkataba wa Tanganyika
 
Akiongea na Watanzania walioko Diaspora kupitia mtandao wa Sauti ya Watanzania au Clubhouse,Dk Malisa alisema kuwa kama mambo anayodai mahakamani hayatakubaliwa,Viongozi wa Dini zote watawaongoza watanzania kuandamana kudai maboresho ya sheria za uchaguzi.

Amesema amekuwa akiwasiliana na viongozi wa madhehebu mbalimbali likiwemo Kanisa Katoliki, ambao wote wanakubaliana kuwa lazima kufanyike jambo kwa kuwa hali inayoendelea siyo nzuri.

Kama kweli maandamano hayo yatafanyika itakuwa ni mara ya kwanza tangu kuumbwa kwa Tanzania viongozi wa Dini,hususan wakatoliki,kuandamana.
THE FALL OF CCM 1995-2025.✍️📌
 
Kwanini walioko madarakani hawauoni ihimu wa lustaafu kwa heshima?
 
Kanisa Katoliki wameacha kuhubiri habari njema, wana sapoti wanaharakati ambao ni ant-government, TAL n.k, kwa sababu kanisa RC ni chombo cha kibinadamu zaidi na si ki-Kumungu,.
RC duniani imeleta mateso zaidi kwa wanakondoo kuliko wema
Mauaji ya kimbari Rwanda RC walikuwa ni wadau wakubwa wa kuendesha mauaji ya wa TUTSI hata waliokuwa wakatoliki
Marehemu Papa aliwahi kuomba msamaha kwa RC kushiriki mauaji ya kimbari na visa vya ma kasisi kulawiti watoto walio ktk uangalizi wa kanisa maeneo mbalimbali duniani hasa ulaya na amerika.

View: https://youtu.be/V916I6VPkXM?si=lhQV2Zh4GGxsK5qM
 
Kanisa Katoliki wameacha kuhubiri habari njema, wana sapoti wanaharakati ambao ni ant-government, TAL n.k, kwa sababu kanisa RC ni chombo cha kibinadamu zaidi na si ki-Kumungu,.
RC duniani imeleta mateso zaidi kwa wanakondoo kuliko wema
Mauaji ya kimbari Rwanda RC walikuwa ni wadau wakubwa wa kuendesha mauaji ya wa TUTSI hata waliokuwa wakatoliki
Marehemu Papa aliwahi kuomba msamaha kwa RC kushiriki mauaji ya kimbari na visa vya ma kasisi kulawiti watoto walio ktk uangalizi wa kanisa maeneo mbalimbali duniani hasa ulaya na amerika.

View: https://youtu.be/zQwG4p1Yr6s?si=nzvGJTir50kULoNu
 
WA kuisaidia Tanganyika kwa sasa ni watu wa Imani, watu wa kiroho. Bunge lilishindwa, Mahakama haziwezi (zimeshindwa). Kazi imebaki kwetu sisi watumishi wa Mungu kusimama kwenye nafasi na zamu zetu.

Padri Ngowi naye nimemsikia akiongea ya kuisaidia Tanganyika. Tusikubali kuiachia nchi wahuni.

Baba Mungu usituache, tunaomba msaada wako, Amina.

#kataa wahuni#
Wahuni ni wale wanao achana na kazi ya kimungu nakujiunga na mambo ya Siasa. Hao wote mnaotaja kwanza wapo kinyume na maandiko ya dini..NENDENI MKAZAE NA KUIJAZA DUNIA KAMA MCHANGA WA BAHARI
 
Kwani hujui Kanisa Katoliki ndilo lililosaidia kuua ukomunisti kipindi cha Papa John Paul II.
Nawashangaa akina Samia kupambana na Kanisa Katoliki.Simfahamu mtu aliyewahi kupambana na Kanisa hilo akashinda.
Nadhani ni kutokulijua vinzuri kanisa hilo.
Kwahiyo ndugu unataka watu wakae chini ya ukoloni wa ROMAN EMPIRE
 
Tangia zamani kila wakipata upenyo, ila kwa Tanzania hawawezi kupata mwanya hao wanaharamu. Kihistoria hilo halikuwa kanisa, ilikuwa dola kwa maana hiyo hawapendi kabisa watawaliwe. Wako so arrogant, wanapenda makuu waheshimiwe, waogopwe na dola yyte iliyoko madarakani. Ni wa kupuuzwa hawana wanaloweza kufanya, hawamjui Mungu wa kweli wana Mungu wao. Ht novena wanayofunga ni geresha tu ila lengo lao ni ku-take attention ya watu
Wachache wanaojua ili ndugu
 
Back
Top Bottom