Nimemtia mimba mzazi mwenzangu akiwa kwenye ndoa yake ya miaka 7. Nifanye nini?

you reap what you sow- meaning you eventually have to face up to the consequences of your actions or say fate_and that's karma in Hinduism! winalyo,uluwona!
 
We si ndo yule mpuuzi unayekuwa na jinsia tofauti kila siku. Hivi JF staff hawana hata nafasi za wazi kuwa mod kwa kujitolea. Najitolea nahakikisha nalima ban watu kibao wanaoleta ujinga afu naacha kazi. Hii naifanya within one week
 
We si ndo yule mpuuzi unayekuha na jinsia tofauti kila siku. Hivi JF staff hawana hata nafasi za wazi kuwa mod kwa kujitolea. Najitolea nahakikisha nalima ban watu kibao wanaoleta ujinga afu naacha kazi. Hii naifanya within one week
Wazo zuri sana,hopefully modes watachukulia kwa uzito stahiki.
 
we ikatae ila ipo siku utakuja kumfuata huku unamwambia *mimi ndio baba yako*[\b] na yeye atakujibu *I made it bit.ch you thought i was gonna die*!!?[\b]
 
kuwa na mahusiano na mtu mwenye mtoto ni changamoto sana. ila wakati mwingine nasema shauri yao km watapasha viporo ila mm ndo main
 
Mwambie kama ni yangu kweli ngoja uzae ili nione kama kweli!!akizaliwa ***** anafanana na wewe subiria maamuzi ya mume wake!!!akimtema anakuwa nyumba ndogo kwa mbali utakuwa unapoza poza kibingwa mke wako siku akiwa na kisrani!!!usikatae wala usikubali mimba!mwambie zaa kwanza tuone!!UMENIPATA NDUGU MWANASEMINA????
 
Ole kutia pumbuni.
 
Kaichukue mimba yako, kwanini upate tabu.
 
mkuu daaah! umetuabisha sana wanaume tunaochepuka nje ya ndoa!! unashindwaje kutumia condom mzee baba kama ulikuwa huwezi kuchomoa faster baada ya kusikia watoto wanakuja!!
kwanza hujatupa story kamili ilikuaje mpaka mkaenda kutiana iseee tupe step by step kwanza then tutajua nn cha kufanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…