Mkuu lazima mwanamke aombe ruhusa kutoka kwa mumewe siyo kutembea hovyo kama chokoraa. Mwanamke anatakiwa akitoka kwenye shughuli zake arudi Nyumbani na asitoke bila kuruhusiwa na Mumewe.Apewe taarifa ya nini na mke ana pesa yake? Alafu zingatia mke atakuwa mkoa mwingine Mme mkoa mwingine.
Haina shidaUtanikimbia sura ya baba angu
NakaziaHii ni chai.
Utaota bwanah achana na mambo za suraHaina shida
Basi sawa.Utaota bwanah achana na mambo za sura
Kwa hiyo kwangu yeye ana kazi gani! Ikiwa anataka kujenga kwao na kusaidia ndugu zake aende akaishi huko atoke kwangu maana hana faida yoyote kwa familia yangu.Kujenga kwao na kusaidia ndugu zake.
Mkuu emb temea mate chini ili yasikukute.Eti huyu nae ni mume wa mtu, aisee!
Kwani shida Ipo wapi kwani kwenye maisha hasa ya mishahara si kunakuishiwa sema tu hapo hakuna upendo Wala utu kati yaoEti huyu nae ni mume wa mtu, aisee!
Poa.Haina shida
Ndoa haimfikishi popote.relaxndoa Hana
Ikiwa wewe ni mwanamume unayejitambua na kutimiza wajibu wako kwenye familia yako bila shuruti juhudi zako zitaonekana na zitathaminiwa.......Na je ikitokea mme ameumwa kwa muda mrefu na hana nguvu za kwenda kazini ni nani anayetakiwa kuiokoa familia?
we ni mume tegemezi wa wife??Wakuu wa humu heshima yenu!
Wife ni mtumishi wa umma (mwalimu secondary)kwenye moja ya mkoa hapa Tanzania.
So kama ilivyo ada watumishi wa umma mishahara yao inawahi kutoka, tarehe kama hizi wao tayari mambo yanakua vizuri tofauti na private sector mpaka tarehe 45 huko.
Niko safarini, na nimefulia nikasema ngoja nimuazime mwenzangu pesa kidogo za kusukuma siku ili week ijayo nami nikilipwa nimrudishie pesa zake.pesa yenyewe niliyoomba ni laki 1 ila kaniambia hana pesa,mshahara wote kuna mambo yake kaufanyia
Masaa matatu baada ya kuninyima huo mkopo nimeona kapost whatsapp status wako coco beach wanakula vitu vinono,ameandika hivi kwenye hiyo status "with my babes,enjoying life".nimetafakari sana mwishowe nikasema tu yote heri.
Wakuu hivi hii ni sahihi kweli,mume nanyimwa mkopo afu anaenda kula vinono na mashosti?
yes, ukikopa kwa friends (signicant others) utakuwa responsibleMweee yaani mke yupo ana hela ndani alafu nikakope kwa marafiki....mwee sasa sii bora ukae na single ujus unakopa kwa marafiki tuu
🤣🤣🤣Inawezekana pia 'anasagana'. Pole sana