Nimeoa nina miezi miwili lakini naona kero kwa mambo haya

Kuna mada nyingine kuchangia unatakiwa kujitoa akili sana, na hii ni moja wapo.

Ungekuwa karibu yangu ningekupiga bonge la KOFI. shwain...!!!
 
Mkuu naunga mkono kwenye kero kuhusu kuoga! Wadau humu wamehamaki ulivyoijumuisha lakini binadamu hatufanani, ni asili tu ilitokea wengine kuoga kuwa changamoto!

Hata kisayansi hatikiwi kuoga kila siku
 
Leta no,ya cm yake nijaribu kuongea nae
 
Hii ni kawaida kabisa mwanzoni mwa ndoa. Vipi kitandani unajisikiaje unapokuwa umelala halafu mtu akakuwekea miguu ama mikono? Kuna siku utakuta makochi ama kitanda vimebadilishwa mwelekeo. Siku mkipata mtoto pia hautapenda. Miezi 2-3 ya mtoto kulia usiku bila kulala. Lakini mwishoe utazoea.
 
Una jinsia mbili?
Utakuwaje na mawifi kwa mujibu wa namba 1 ni ke na 2 na 3 inaonyesha ni me?

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Miezi mbili tu mzee unalalama namna hii?[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ni wa kuundia tume kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama haukuwa tayari kufunga "PINGU" za maisha ulitakiwa usubiri. Inaonekana hupendi anachokipenda mkeo, na yeye hapendi unachokipenda. Kifupi mmeoana ambao hamuwezi kuvumiliana, ukumbuke hii ni miezi miwili tu bado kuna miaka kadhaa mbele yenu.
 
Aisee unashangaza sana,maana huyo mkeo ni kama ulimuokota au ulipewa,kwani huwezi kuongea nae mambo madogomadogo kama hayo mkaelewana?
 
[emoji28][emoji28][emoji28]Ndo maana ndoa ikaitwa pingu za maisha...
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Yaani unataka uishi kibachelor ndani ya ndoa. Pambana tu mkuu utazoea.
 

[emoji23][emoji23][emoji38] kuoga kunaepusha mengi
 
sasa subiri utanyanganywa mke sisi tunatafuta angalau wa kukaa naye achila hizo service
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…