I can't begin to imagine maumivu wanayosikia ndugu zake kuona hii video.

Nimesema humu repeatedly hao kenge, miarabu na miyahudi, mnaowatetea kwa nguvu zote don't give a single fvck about y'all. Hawajawahi kutoa hata pole kwenye madhila yenu. Sasa wamemuua ndugu yetu wakijua fika sio muisrael. Kwamba hamas hawajui kuna wageni Israel? Huko Palestine hakuna wageni?

TZ cut ties with all Israel allies enzi za Nyerere kusapoti Palestine just for them to do this kwa ndugu yetu? Then wanageuka kusema wanaonewa, make it make sense? This is heinous all around.
 
...afu clip imekatwakatwa vipande.

Aya mambo ya vita + hizi media Acha kabisa...

Anyway vita ni vita haichagui wapi pa kupiga na yupi.....imesomba vitoto,vizee,wagonjwa na vijana wengi uko Palestina
Tusikurupuke kama mazombie na kuanza kulalamika tu ni kweli mwenzetu amefikwa na mauti lakini lazima tuhoji. Hivi serikali ya Tanzania inaweza kumuita Balozi wa Israeli kumuhoji haya maswali ya msingi?
 
Video ni kuzima sakata hili la kuwaua wale mateka wao wa3 ....Hili limewachafua sana mpaka wamekubali.

The first failed footage ni ile ya kulipua hospital walitoa footage wakidai ni mistake ya Hamas wakati wakirusha rocket ... Finally mabaki yalionyesha bomu limetoka USA na wao walitangaza kabla watashambulia ile tweet walifuta ila watu walikuwa nayo.

Je ni ipi dhamira yao kwa hiyo video ?

👉Dhamira yao ni kuleta kasumba ya ubaguzi wa rangi ambao lazima ilete taswira mbovu na kuwachafua HAMAS daima .

👇👇👇
 
Ulichoongea hapo kinahalalisha mauaji ya mtu asiyehusika na ugomvi wao??

Kama waisraeli wameua mateka wa hammas it makes sense kwa sababu wana ugomvi, mtanzania ana ugomvi nao? Au wanapenda tuu kumwaga damu za watu wasio na hatia?

Nyie kwa ninavyo wajua, mtasema chochote, mtapindisha mada, mtakumbushia matukio ya zamani, mtaleta kila aina ya sifa mbaya ya Israel, ili mradi tuu kuwatetea hao washkaji zenu.

Kinachosemwa hapo ni mauaji ya mtanzania mwenzetu ila unachofanya wewe unakijua mwenyew.
 
Acha kuleta hoja yako ya kutete mashetani
 
Mkuu kinachotokea Gaza ni "Genocide " huwezi linganisha na vita yeyote inayopiganwa hapa duniani kwasasa.
Mkuu
Kifo cha silaha ni kifo
Kiwe genocide,kiwe suicidal au clash combact.....

Afrika imepoteza watu wake wengi sana kwa style hiyo ambayo unadhani siyo genocide
 
Sasa tumeona hiyo. Je Clemence walimuaje? Inaumiza Hadi basi. Sina hamu na hao Wapalestina na Hamas Yao. Tunawangangania nini na kuwa ubalozi wao hapa Tz?
 
Unakuwa kama hujielewi ,hao Hamas wabaki na mwili wa nn kwa miezi 2 mfululizo hata huwezi kutumia akili.

Angalia hiyo video vizuri ,kwani mbona walitoa video kwamba Hamas alilipua hospital !?
 
Magaidi hata hapa kwetu yapo. Hayo yaliyokuwa yanafanya ugaidi kule Mkuranga na Kibiti unafikiri yalitoka nje ya nchi. Ni haya haya ambayo hapa JF yanayasifia magaidi ya Hamas.
 
Unakuwa kama hujielewi ,hao Hamas wabaki na mwili wa nn kwa miezi 2 mfululizo hata huwezi kutumia akili.

Angalia hiyo video vizuri ,kwani mbona walitoa video kwamba Hamas alilipua hospital !?
Sikia, Kwaio unataka kusemaje, huyo jamaa hajauliwa na hammas??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…